Bro fanya utafiti kwanza, unasema asilete habari za kwenye vitabu wakati hata wewe hayo mambo umeyasoma sehemu fulani....
Ukiwa kwenye gari ambalo lipo kwenye mwendo na wewe pia unakuwa kwenye mwendo sawa sawa na lile gari.... ndio maana gari likifungwa breki ghafla utajikuta kama unavutwa kwenda mbele ni kwa kuwa wewe bado unakuwa upo kwenye mwendo wakati gari linakuwa limesimama. Pia hiyo ndio sababu ikitokea gari limegonga kitu mfano ukuta watu waliopo ndani ya gari kurushwa kupitia kioo cha mbele, hiyo ni kwa kuwa gari linakuwa limesimama ghafla huku likiwaacha wao wakiwa kwenye mwendo.
mfano wako huo uliotoa ni kwamba ukisimama juu ya hilo gari ambalo lipo kwenye mwendo halafu ukaruka juu basi utatua pale pale kwa kuwa na wewe pia unakuwa kwenye mwendo sawa sawa na hilo gari.
mkuu msome Newton na umuelewe
Hapo nilipobold hapana mkuu...ni kwamba kama gari ilikuwa inasafiri kwa 80km/h na wewe ukaruka...basi kwa muda fulani utaendelea kusafiri kwa hyo hyo speed ya 80km/h then speed itapungua na wewe utaanguka chini PWAAAAA...hapo air resistance inachukua nafasi ndo maana utapunguza speed na kujibwaga chini...ila isingekuwepo air resistance basi ungendelea kusafiri kwa speed hyo hyo mpaka wapi sijiui..
Dark Energy ndo kitu pekeee ambacho kina drive motion ya every particle kwenye universe hii ...Mtabishana sana apo lkn dunia ni kama mimba tu 😉 (just a joke) m nna swali hapo kuna nguvu gan inayofanya atmosphere iwe katika mwendo pamoja na dunia maana hapo naona kama vle tunalazmisha jibu ili tu kukubaliana na theory ya kusema kua kila kitu katika ulimwengu kipo katika mwendo
Sasa kama dunia ni bapa yaani tambarare,naomba unielezee usiku na mchana unapatikanaje hapo ?FAHAMU UKWELI KUNTU KUHUSU DUNIA YETU.
Watu walio wengi wanajua dunia yetu ina umbo la sphere yaani ipo flattened kwa top, sio duara kabisa. Ila kuna facts 200 ambazo zinasema ukweli kuhusu dunia na kusema ya kuwa dunia ipo bapa yaani flat na sio sphere au duara kama tulivyozoea.
Kama dunia ingekuwa inazunguka eastwards at 1000miles/hour basi;
> Hekicopter zingekuwa zinatulia angani na kusubiria mji wanaotaka wafike ukufikie.
> Kwa hyo spidi hapo juu inatakiwa mtu aifeel maana ni spidi kubwa sana.
> Dunia inazunguka kuelekea east, hvyo ndege ikipaa west na ikawa inalekea east na ikawa inatembea 500miles/hour basi basi destination yake inatakiwa iwe inaiacha mara mbili maana spidi ya dunia kuzunguka ni kubwa.
kwa upande wa gravity.
> Wanasayansi wanasema gravity ni kubwa sana inashikilia majengo, maji yaliyopo baharini na kadhalika ila hyo gravity imeshndwa kushikilia vitu vidogo kama wadudu, ndege mnyama na samaki waliopo baharini.
ukweli kuhusu flight mbalimbali
> Hakuna flight inayopita juu ya antarctica, mtu akitokea south africa anaenda south america lazma apitie kwanza europe ili kurefuel kwanini akati kutokana na shape ya dunia yao huyo mtu anaeza akanyooka moja kwa moja.
> Kwa dunia ya flat ukitoka south africa ni straight hadi south america na europe ipo katikati.
> Kwa dunia ya flat antarctica continent ndo kwenye ukingo wa dunia na ukipitiliza umetoka duniani, hivyo basi hata wataalam wanaamini ya kwamba ndege ya malaysia na yenyewe ilipoteza dira na kupita juu ya antarctica hvyo kutoka nje ya dunia.
Wanasema pia ili mwezi upatwe lazma dunia iwe katikati ya jua na mwezi.. ila kuna cases kibao mwezi unapatwa na watu ambao kwa bado ni mchana wanauona mwez juu.....
Hayo ni machache tu kwa leo... the shape of the earth its computerized.. the picture of earth from the moon its made in hollywood studios.
Dark Energy ndo kitu pekeee ambacho kina drive motion ya every particle kwenye universe hii ...
Mpaka sasa bado formular yake haijulikani kwa sisi ila inasemekana ishafamika kwenye kamati ya wenye dunia hii...
Sent using Jamii Forums mobile app
ukishawajua...??Wenye dunia hii ni wakina nani ? Leo naomba niwajue.
Uwaweke kwenye mizani ya Elimu kwa kiwango chako au kwa reference na elimu ya nani ??Nikishawajua niwaweke kwenye mizani ya kielimu.
Huwa tunasema hivi "Ukitaka kuujua ukweli,basi wajue wakweli ni kina nani"
Uwaweke kwenye mizani ya Elimu kwa kiwango chako au kwa reference na elimu ya nani ??
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mfano tukiwataja hapa sasa hivi ,itakuchukua muda gani kuleta mrejesho wa ukweli wa uwepo wao...?? make si umesema kuwa kuna wakubwa zako huwa unawapelekea ndo unakuja na mrejesho...??Kaka mimi sina elimu ila kuna wakubwa zangu katika elimu na nina marejeo yasiyopitwa na wakati.
Mimi mbele yao huwa nachukua tu,na kufanyia kazi. Cha msingi wataje ili tuwajue,au kuna masharti wametoa ?
elimu ya nani ??
jibu swali la post #172Hili swali rahisi sana kuwahi kuulizwa. Nakujibu hivi, "Elimu haina mwenyewe bali elimu ina watu wake".
Na chanzo cha maarifa/Elimu yote ni Mola muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.
Nipo ....
kwa mfano tukiwataja hapa sasa hivi ,itakuchukua muda gani kuleta mrejesho wa ukweli wa uwepo wao...?? make si umesema kuwa kuna wakubwa zako huwa unawapelekea ndo unakuja na mrejesho...??
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mfano tukiwataja hapa sasa hivi ,itakuchukua muda gani kuleta mrejesho wa ukweli wa uwepo wao...?? make si umesema kuwa kuna wakubwa zako huwa unawapelekea ndo unakuja na mrejesho...??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mana nikakuliza tukiwataja wenye ulimwengu huu ,itachukua muda gani kwako kuja na mrejesho juu yao...??Nakupa faida hii,niliposema wakubwa zangu nilimaanisha maana zaidi ya moja,maana ya kwanza nikuwauliza wale walio nizidi elimu na ninao waamini na maana ya pili ni kurejea vitabu vyao hao wanazuoni ninao wakubali. Kwa muda huu hii maana ya pili ndio naifanyia kazi,kwani wakubwa zangu katika elimu na umri kalamu zao zilisha nyanyuka na wino wao ulishakauka,yaani kilia kitu kilishandikwa na kudhibitiwa,yaani ukiwataja nakupa jibu lako muda huu huu bila kupepesa macho na hii ni kwa ile maana ya pili.
Nipo ...
umesema lazima ukawaulize hao wakubwa zako juu ya hao watu...ndp nakulizs itachukua muda gani kuja kuleta mrejesho hapa...?? Make umesema huwajui hao watu manake hutakiwi kuwapinga leo hii hii make mpaka uende ukajadiliane na hao ndugu zako wakubwa zako waliokuzidi maarfa...Nimeshakujibu tayari. Nasubiri uwataje.
Ndo mana nikakuliza tukiwataja wenye ulimwengu huu ,itachukua muda gani kwako kuja na mrejesho juu yao...??
Swali gumu et eee...??
Sent using Jamii Forums mobile app
umesema lazima ukawaulize hao wakubwa zako juu ya hao watu...ndp nakulizs itachukua muda gani kuja kuleta mrejesho hapa...?? Make umesema huwajui hao watu manake hutakiwi kuwapinga leo hii hii make mpaka uende ukajadiliane na hao ndugu zako wakubwa zako waliokuzidi maarfa...
kuwa muwazi tumalize kazi mzee
Sent using Jamii Forums mobile app