Ukweli kuhusu dunia (earth)

Mfano wa nzi ni mfu kumbuka wanasayansi wametuambia tupo nje ya dunia sio ndani ya dunia. Kwahyo hoja ya helicopter ni swali juu ya wanasayansi ila kuhusu nzi nashindwa kuelewa dunia gani unaizungumzia je ni ya NASA au yakwako???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama dunia ipo km meza naomba nipeleke ukingoni nkapatazame pamefananaje.napenda sana utalii
Umewahi kujiuliza kama ni kweli urusi na Canada zimeungana kama tz na kenya ikiwa kuna umbali wa km elfu kadhaa kutoka urusi to Canada, basi dunia sio tufe bali ni duara kama chapati au sinia kiufupi mwisho wa dunia ni maji mengi sana ambayo hakuna anayeweza kuyavuka kwa mwili huu au kwa kazi ya mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo ni mengi mifano ni mingi ila huna akili hujamweliwa jamaa, anasema dunia inapozunguka huzunguka na vilivyomo duniani, sasa vipi kuhusu helcopter au ndege inayoruka angani maana angani sio duniani je kama kweli dunia inazunguka from west to east basi ingekuwa ikiruka juu mfano ipo marekani ikiruka juu ingetulia kuisubiri China ije kwenye hilo anga?? Kisha itue chini kwanini ipae angani kutoka magharibi ielekee mashariki ilhali dunia inazunguka???

Ninavoona kama ingekuwa dunia inazunguka kwa hyo speed ndege zingeshindwa kufanya chochote na kusingekuwa na uwezekano wa safari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa anayejua wanavoruka wa masai ataongeza fanya gari ndio dunia hlafu upo kwenye bodi ya hilux pale nyuma kabis je kama masai yuko kwenye mwendo Sawa na wa gari vipi akiruka juu atatua barabarani au kwenye gari???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hatupo ndani ya dunia tupo nje ya dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me hua najiuliza kama kweli dunia sio sphere, hao ambao wanatuaminisha wanataka wapate nini?? mleta mada nijibu swali, hii dunia ikiwa sphere hao wanasayansi wanaoshikilia hii point wanafaidika na nini kudanganya na kwanini iwe ni siri kubwa hivyo??
Biblia inasema siku atakaposhuka Yesu Masihi kila jicho litamuona na wao wanamuandaa yesu feki ambaye akitua ulaya afrika haitamuona lakini Biblia imesema wote tutamuona kwahyo niwazi dunia sio tufe ila hii kutufundisha Kuwa tufe ili watakapomleta huyo fake tuamini hatuwezi muona kwani dunia ni tufe. Ni hivo tu kama utakubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna siri zadunia zipo hapa gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…