Ukweli kuhusu dunia (earth)

Nacheka sana,natumiaKiswahili chepesi mno,soma maneno yangu ya mwisho,nimekwambia nakupa jibu muda huu huu bila kupepesa macho. Wewe wataje tu hao unaosema wenye ulimwengu wao. Tuokoe muda hili jambo dogo sana.
Unanipaje jibu wakati umesema huwafahamu...??

We jamaaaa bana...sijui akili yako huwa inawazi viazi mbatata muda wote


Usiku mwema...Sina uwezo wa kubishana na wewe mwenye Elimu kubwa bana...

Usiku mwema chief wa mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nacheka sana. Hata wenzako wakiona hili watakucheka.

Huwa sishangai kuona unashindwa kung'amua mambo madogo kama haya,iweje uje kupatia mambo makubwa au ya wastani.

Nikisema mizani tuna maanisha marejeo ya kipimo,leo ninaweza nikawa sijui urefu wako,ila tukikuchukua au ukienda kwenye kipimo cha kupimia urefu tukakupima bila shaka tutaujua urefu wako yaani ukweli kuhusu urefu wako. Na mimi kweli hao jamaa siwajui,ila sababu mizani ipo yaani marejeo ukinitajia nina wapima kisha nakwambia hakika yao yaani ukweli wa mambo ulivyo juu ya hao unao waita wenye ulimwengu.

Leo hii ni zaidi ya mara ya pili,unakimbia hoja zangu kwa kubabatiza uongo. Ila ninakushauri kitu kimoja mzee,katika hii mijadala ya namna hii jitahidi sana kuwa fundi katika lugha na uwe ukisoma hizo chereko zenu uwe unafikiria kwanza na kujiuliza je umeelewa au umekariri ?

Ajabu ya watu wa leo hata sanaa ya lugha na kuhoji mambo hamna tofauti hata na wale wakubwa zenu wa kale kidogo walikuwa wanajitutumua katika lugha mpaka ikafikia kipindi wakaitwa "Watu wa kucheza na maneno"

Nipo ...
 
sijasoma utumbo huu labda wengine watakuja kusoma...

Usiku mwema...endelea kusoma Quran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia inazunguka na anga lake lililopo juu, ukienda nje ya anga ndio unakua static huzunguki na dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kama hajaelewa hapo basi tena. Athari za watu waliokimbia elementary physics na baadae wakajikuta online wanasoma conspiracy huwa ni wabishi sana!
 
Huu uongo wa kijinga ushapitwa na wakati,ni kama dini na kisa cha mwafrika kuwa nyani kihistoria.
 
Sasa mkuu kama Dunia ni flat disc ina maana kutakuwa na pande mbili tu! Nazo ni mashariki na magharibi. Kaskazini inaweza ikawepo, inaweza kuitwa ndiyo center. Kwa mantiki hiyo ncha ya kusini haitakuwepo.

Hii dhana imekaaje?
 
Naomba tufunge mjadala kwa kupata maneno kutoka kwenye maandiko:

22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa;

Isaya 40:22

22 He is the one who sits on the earth's horizon; its inhabitants are like grasshoppers before him. He is the one who stretches out the sky like a thin curtain, and spreads it out like a pitched tent.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mmoja na imani yake Mkuu. Kwangu mimi hiyo ndio the best. Ciao!
Kwa iyo mkuu wanaoamini kitabu tofaut na Quran maisha Yao baada ya kufa yatakuaje .
Zingatia hili: dunian kuna watu zaidi za billion 7 wanaoiamini Quran ni billion 1 na point kadha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isaya 40:22 Kuna Yule anayekaa juu ya duara ya dunia, Na wakaaji wake ni kama panzi. Anazitandaza mbingu kama wavu laini, Naye huzitandaza kama hema la kuishi.
 
Mi mwenyewe nashangaa eti dunia inazunguka !

Mbona mi kila siku niko pale pale sizunguki nikafika hata china ?

We si hutaki kutulia sehemu moja,ikizunguka na ww unaranda,utabaki Tanzania mpaka utapo tulia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…