Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 22,495
- 33,057
Mwandwanga,Kwahiyo kukisoma kwenye Blog yako siyo kosa la jinai, au unavyoendelea kusambaza upupu huu siyo jinai
Kwa majibu haya, mnasababisha kuhalalisha kile alichokileta mwanzishaAliyevurunda huyo kapiga picha na raia namba moja Tanzania. wewe na mi chuki yako isiyokuwa na kichwa wala miguu naona unaongeza tu makapu ya ndimu. Uvivu wa fikra ndio unaokutawala mwenzako tena mwanaume mwenzio anazidi kuchanja mbuga kwenye suala la maendeleo wewe baada ya kujifunza uko nyuma ya keyboard unapiga majungu na malalamiko kama kama Punguani. Unaridhika na buku 4 za ufipa.
Elimu yenyewe ya kuunga unga na kama uliingia kazini kipindi cha NPF enzi za Mkulo nyie ndio mliokuwa Mashamba boy kupewa nafasi na mnataka kutumia sababu ya kuwa kazini muda mrefu kupewa vyeo wakati sifa hamna. Tangu enzi hizo hata kama uliingia bado kijana mpaka leo utakuwa mtu mzima, na post unazoweka humu utumbo mtupu. naelewa sasa kwanini hawakupi cheo maana wewe ni jipu na jitu lisilokubali kubadilika thats y utazeeka na hicho kidogo ulichonacho waakati hao unaowapiga majungu wanatusua na kuzidi kupata maendeleo.
JIFUNZENI, BALOZI MTEULE DR. DAU ANA ELIMU YA DUNIA NA ELIMU YA DINI NA AMEFANIKIWA KWA SASABABU HATEGEMEI TU ALICHOSOMA DARASANI BALI PIA ANA TUMAINI NA MUNGU WAKE NA HAJIFICHI. NYINYI MNAOENDEKEZA ELIMU ZA DARASANI MNASHINDA KWENYE MABAA AU KUPIGWA MITI KAMWE HAMTAKUWA KAMA YEYE.
NA KIKUBWA AMESHAONYESHA KWA NADHARIA YAKO YA UDINI KUWA UKIMTEGEMEA ALLAH (S.W) HAKIKA MAMBO YAKO YATANYOOKA. TOROKA UJE ILI NA WEWE UWEZE KUPATA HATA KA BINGO KIDOGO KAKUWA MBIA MWENZA NEWCASTLE UNITED USING'ANG'ANIE TU HUKO KWENYE MASANAMU JUA HAYALIPI.
Teh teh teh. Dah.Manufaa unayapima vpi wewe nyumbu? Kwa kuwa unatumia simu kupost ujinga ndo unaona manufaa? Kuna watu hizi din zinatupa hofu ya Mungu kama wewe unavyoona manufaa kwenye simu na nguo ulizovaa
wewe ni muwongo haupo NSSF kama ni ajira za udini mbona mtoto wa jamaa yangu muislam na alikuwa na masters ya account hakupata ajira? na dr alipiga marufuku miziki ya kidini maofisini kwa kuwaambia hii ni ofisi ya umma na mkamzushia eti kaweka msikiti ofisini na huo sio msikiti mpaka uitwe msikiti ni waumini wawe arobaini.UKWELI KUHUSU NA DR. DAU NA NSSF
Mimi ni mfanyakazi wa Shirika tajwa ambaye nimekuwepo toka enzi za kabla Mkulo ajawa Mkurugenzi wa shirika mpaka sasa hivyo nimeshuhudia mabadiliko hasa yanayohusu uongozi chini ya wakurugenzi wakuu hawa wawili.
Kwa ufupi Dr. ameliangusha Shirika kwa kiasi kikubwa, kwangu mimi ni failure.
Bahati mbaya uongozi wa wakurugenzi hawa hauwi exposed kwenye research za wasomi wetu kwani zingechangia kwa kiasi kikubwa “hazina’ ya maarifa ya uongozi kwenye taasisi za Tanzania hasa mashirika ya umma.
TAHADHARI
KWA NINI NASEMA DR ALIVURUNDA?
- Natambua kwamba Dr alitumia pesa nyingi kwa waandishi wa habari kudhibiti habari hasizozipenda zisitoke. Hili yeyote mwenye uzoefu na ‘media’ ya Tanzania analielewa. Bahati mbaya sana hata jukwaa la wahariri kama taasisi imekuwa ikinufaika sana na fedha za shirika zisizo na maelezo ya kutosha chini ya mgongo wa shughuli mbalimbali.
- Toka ameingia amekuwa akiajiri wafanyakazi kwa upendeleo kama nitakavyoeleza hapo chini, hivyo ana watetezi wengi kwa sababu tu ‘walibebwa’, na inaeleweka kuwepo kwa vibaraka anaowalipa wanaoshinda kwenye ‘social media’ kama hii.
Kwa ufupi tumuangalie kwenye sehemu kubwa zifuatazo
UDINI
- Udini
- Ubadhirifu
- Kushuka kwa ufanisi
- Kuongeza gharama za uendeshaji
Natambua unyeti wa hii mada, na mara nyingi wenye busara wamekuwa wakikwepa kuijadili kiundani. Lakini ukimya kwenye hili unachangia kuongezeka kwa tatizo, wakati mwingine ni muhimu kulizungumza umma ujue.
Udini umetamalaki sana kwenye Shirika kwani kuna makundi mawili, waislam wanaotamba bila aibu kwamba ni zamu yetu, na wengineo ambao wamekuwa labeled na kundi la kwanza kama mafirauni au wakorintho. Hili jambo liko wazi sana na kwa sababu anatumia secret informers watu wamekuwa waoga hata kuongea.
Binafsi nasikitika udini nilioushuhudia kwa msomi huyu. Udini ulihusisha mambo mengi;
Alianza kwanza na umeneja, na alitumia accomplices kama kina Dr Asad ambaye alikuwa mjumbe wa board lkn alitumika kama ‘consultant” katika kuendesha udahili na kutoa marks za upendeleo kwa candidates wa umeneja.
- Kutoa vyeo kwa upendeleo. La kwanza alipofika alianziha scheme of work yak echini ya mwamvuli wa consultant “REDMA”. Kwenye hili kupanda ngazi kwa mfanyakazi hakukuangalia muda wa ajira wa mfanyakazi. NSSF ni moja ya taasisi za ajabu ambapo, mfanyakazi mwenye level ya elimu, say degree aliyetumikia Shirika kwa miaka 18 na rekodi nzuri ya performance, ana mshahara sawa na aliyeajiriwa mwezi uliopita!. Hili alilifanya makusudi hili kuwainua wapya na kuwakandamiza wa zamani. Uliza staff yeyote wa Shirika mwenye muda wa kabla ya Dr atakwambia jinsi alivyopandisha vyeo watu wake na kuwakandamiza ‘mafirauni” kama wanavyowaita.
Huyu aliwekwa kwa makusudi kwani baada ya hapo ajira zilizofuata zilikuwa za ‘Msikitini”. Unaweza usielewe hili lakini ndio ukweli wenyewe. Inasikitisha pale watoto wa wakulima walipoitwa kwenye usaili toka sehemu mbalimbali za Tanzania kwa gharama kubwa, ili kujustify open recruitment process, lakini hatimaye wanaoajiriwa ni yale majina aliyopelekewa Dr na wazee wanapokutana misikitini. Uliza watu walioitwa kwenye usaili watakwambia pale unaajiriwa kwa kigezo cha dini.
- Ajira za udini na undugu. Alipofika alihakikisha idara nyeti zote ameweka watu wa dini yake, au la basi boss wa idara anakuwa wa dini yake na surbodinates wote wanakuwa hawana nafasi ya kutoa ushauri. Kwanza alitangaza ajira za Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu (DHRA), cha ajabu watu wazito na wenye CV nzito walipigwa chini akachukuliwa Matesa, ambaye hata elimu yake ni questionable. Hili linaweza likathibitishwa na tume huru kwa kuwapitia walioomba hiyo nafasi na kuonyesha applications zilizofunikwa.
Matesa bila aibu ameajiri watoto wake waume wa watoto wake na wake wa watoto wake.
Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba. Hapa ujazungumzia watu wa Kisarawe.
Lakini la kuchekesha zaidi ni ajira za mafungu na bila kutangaza wala interview zinazofanyika mara kwa mara. Ni kawaida sana kukuta wanaletwa wafanyakazi kama 6 au 18 na kuambiwa wakaripoti idara mbalimbali na zile idara/sehemu zinashangaa kwa sababu hawana uhitaji wa watu hao.
Zamani tulikuwa na utaratibu m,adereva na wahudumu wa ofisi wanaajiriwa na mameneja wa mikoa, faida ya huu utaratibu zinajulikana. Lakini sasa hivi matesa kajaza madereva wake mikoani hata wasio na sifa. Kuna dereva moja halishindwa kuendesha gari, ikabidi ampe kazi nyingine na kumleta mtu wake tena.
Kuna wafanyakazi waliopachikwa ngazi ya ‘officer’ wakati hawana degree kama requirements za position zinavyotaka.
Kwenye idara ya uwekezaji alihakikisha anajaza watu wake ili kulinda uozo wake.
Hii ni kwa wote wakubwa na wadogo. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala Mr Mniwako alifukuzwa bila sababu za msingi na Dr hakuona ni kuchezea fedha za umma kumlipa mamilioni ya shilingi, hili kuzuia kushtakiwa.
- Kufukuzwa kazi kundi moja na kutofukuzwa kundi lingine.
Pitia kesi mbalimbali za nidhamu utagundua wafanyakazi wengi walifukuzwa kwa kuonewa na ndo maana wengi wamefungua kesi.
UBADHIRIFU
Hapa ndipo penye uvundo wa karne.
Dr pamoja na kujitia ni mtu wa dini huwa nashangaa sana madhambi ya ubadhirifu anayofanya. Kwa picha ya nje, ongea na macontrakta watakwambia madeni wanaoidai NSSF na jinsi wanavyopigwa dana dana, ongea na wanachama watakiri kuwahi kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi, kadhalika wafanyakazi wa Shirika kucheleweshewa mishahara na malipo mbalimbali. Kwa ufupi kwa tulio ndani hali ya kifedha ni mbaya.
Lakini yote hii imesabnabishwa na ufisadi uliokithiri, na ninatoa rai ya kuwepo kwa special audit kwenye hili. Kwa nature bya shughuli za shirika huwa tuna balance short term investments na long term investments kulingana na projected short tern na long term liabilities. Lakini kwa utawala huu fedha zote zililazimishwa kwenda long term investments. Sababu iko wazi, hata kama hizo long term investments hazilipi, commission yake ni kubwa, yaani ni rahisi ‘kupiga’ fedha kubwa.
Angalia majengo makubwa Kigoma, Kahama, Arusha, Kilimanjaro na kwingineko. Yamejengwa kwa gharama kubwa(inflated costs) na hamna wapangaji! Hivi ni mabilioni mangapi ya watanzania yamezikwa? Dege beach, daraja la kigamboni etc.
Viwanja vilivyonunuliwa kwa inflated price ni vingi mno!
Tunamshukuru sana Mkulo aliyejenga asset base kubwa ambayo kina Dr wanaibomoa. Na kuna wajinga wanamsifu Dr kwa miradi isiyolipa naya kifisadi aliyoifanya, badala ya Kumsifu Mkulo kwa sound financial management iliyosababisha tuwe na strong asset base!
Kwenye ewekezaji kuna uvundo mwingi, rai yangu kuwe na SPECIAL AUDIT.
KUSHUKA KWA UFANISI
Kwa maelezo hayo juu ni wazi ufanisi utashuka. Ufanisi umeshuka sana hasa eneo la uandikishaji wanachama wapya na ukusanyaji michango. Kwa kiasi kikubwa hili limetokana na utawala wa kiimla na ushirikishwaji duni wa wafanyakazi kwenye uaandaaji mipango na mikakati inayotekelezeka.
Dr amekuwa aki dictate malengo mapya bila kuwa na justification. Mfano kuweka malengo ya kuandikisha wanachama 500,000 toka sekta isiyo rasmi wakati shirika toka lianze lina wastani wa idadi ya wanachama 500,000! Na hapo hamna mikakati na resources za kutosheleza zilizowekwa.
Vilevile kumekuwa na upangaji wa wafanyakazi kwenye idara husika bila kuwahusisha idara husika.
Sababu mojawapo ya kuweka malengo makubwa hata yasiyofikika hili aweze kutumia pesa zaidi kwani sheria yetu inataka matumizi yasizidi asilimia 15 ya kipato.
KUONGEZEKA KWA GHARAMA
Kutokana na maelezo ya juu nidhahiri gharama zitapanda. Shirika limekuwa na wafanyakazi wengi kuliko wanaohitajika sababu tu mtu alikuwa na ajenda ya kuajiri ‘wenzetu’ bila kuangalia mahitaji.
Vilevile vimeundwa vyeo vipya vingi hili kutengeneza nafasi za ‘wenzetu’. Pia uwekezaji uliopitiliza usiozingatia miiko, ufanisi, urari na uhitaji kwa wakati uliopo.
RAI KWA WANACHAMA NA WATANZANIA
- Hasara kwa shirika ni kubwa sana. Bahati mbaya vyombo vya udhibiti kama bodi havina nguvu na wamekuwa wakifaidika kwa malipo mbalimbali. Najua kwenye bodi kuna uwakilishi wa wafanyakazi kupitia Shirikisho, lakini wameshindwa kulinda maslai ya wanachama. Nawashauri mdai mabadiliko hili wawakilishi kwenye bodi wapigiwe kula kama ilivyo Kenya.
- Iundwe tume huru hili kuchunguza shutuma hizi ambazo ni nzito na nina uhakika ukweli utawekwa wazi. Ili la tume huru ni muhimu sana kwani litaondoa propaganda zinazoendelea na kuwachanganya watanzania, wasijue ukweli ni upi.
Teh teh teh. Dah.
Kiongozi naona unamnyonyoa huyu kifaranga Stayfar bila maji ya moto.
Naona Anapima kina cha maji na mguu.
Kibaya alichoona yeye ni Dini tu. Ukute hapo alipo amepaka mikorogo mpk kwenye ulimi kuutafuta huo huo weupe.
Hatari sana.
wewe ni muwongo haupo NSSF kama ni ajira za udini mbona mtoto wa jamaa yangu muislam na alikuwa na masters ya account hakupata ajira? na dr alipiga marufuku miziki ya kidini maofisini kwa kuwaambia hii ni ofisi ya umma na mkamzushia eti kaweka msikiti ofisini na huo sio msikiti mpaka uitwe msikiti ni waumini wawe arobaini.
NSSF imesaidia kujenga UDOM kama ilianguka kiuchumi wangeweza kujenga na daraja la kigamboni?
punguzeni chuki kwa wenzenu wanaoswali kuelekea makkah,chuki haijeng nchi,matokeo yake yatakudhuru wewe na vizazi vyakoWewe ulichoandika ni upuuzi maana huijui Nssf na dau,dau alikuwa mtume enzi zake akiwa Nssf,dau na chiku matesa wameajiriwa ndugu zao zaidi ya 400 Nssf na wengine darasa LA Saba,ukitaka ushahidi upo
Katika watu ambao wanaongoza kwa matatizo ya akili jf ww ni wa kwanza udini umekujaa kupita maelezo ndo maana kila mwaka kwenye matokeo lazima mikoa ya mwisho ni ya kusini na pemba kumbe akili hamna kwelHuyo mtoa mada tena anasema ni mfanyakaz basi atuwekee list ya wafanyakaz wenzake hapo Nssf kwa kigezo cha dini kisha tuangalie baina ya waislam na wakristo nan ni weengi?
Kisha baada ya hapo tuhamie kwenye mashirika mengine na ngaz zoote za serikali tuangalie baina ya waislam na wakristo nan ni wengi.
Kisha tuanzie hapo kuangalia mziz wa fitina
Unajua waimba kwaya msije mkajisahau mkadhan hii nchi ni hati miliki ya kanisa hilo mlitambue.
Miaka yoote mmejazana huko serikalin hakuna cha maana mnachofanya zaid ya kulitia taifa kwenye umaskin kwa wizi na ufisadi
Hahahahaha hiyo ni lazima iwepo hata ukatae maana naelewa mkipewa kona nyie hamkopeshi tena waziwazi na hili swala la udini halina tofauti na ukabila so serve your words anaweza kua sawa.Pia akiwekwa mgalatia akifanya hivyo msishangae now the game is over maana mnavopenda kulialia mpewe nafasi kla kona wakati mkipewa ni shida.Nilianza kusoma nilipofika hapa " Dr amejaza hadi wapemba" nikaacha maana naamini wote wanaomuita Dr Dau mdini ni watu wenye chuki uislamu na waislamu. Ila huyu ni ameingezea na ubaguzi, siamini mwaka 2016 bado kuna watu wana ubaguzi wa kijinga jinga hivi.
Lete ushahidiWewe ulichoandika ni upuuzi maana huijui Nssf na dau,dau alikuwa mtume enzi zake akiwa Nssf,dau na chiku matesa wameajiriwa ndugu zao zaidi ya 400 Nssf na wengine darasa LA Saba,ukitaka ushahidi upo
Uteuzi alioufanya jk je??Mkuu,stop with racisting,,,,,,hv unafuatilia uteuzi anaoufanya Magufuli?Dr alipigiwa kelele sasa keshaondolewa bado mihemko ya nini?
UKWELI KUHUSU NA DR. DAU NA NSSF
Mimi ni mfanyakazi wa Shirika tajwa ambaye nimekuwepo toka enzi za kabla Mkulo ajawa Mkurugenzi wa shirika mpaka sasa hivyo nimeshuhudia mabadiliko hasa yanayohusu uongozi chini ya wakurugenzi wakuu hawa wawili.
Kwa ufupi Dr. ameliangusha Shirika kwa kiasi kikubwa, kwangu mimi ni failure.
Bahati mbaya uongozi wa wakurugenzi hawa hauwi exposed kwenye research za wasomi wetu kwani zingechangia kwa kiasi kikubwa “hazina’ ya maarifa ya uongozi kwenye taasisi za Tanzania hasa mashirika ya umma.
TAHADHARI
KWA NINI NASEMA DR ALIVURUNDA?
- Natambua kwamba Dr alitumia pesa nyingi kwa waandishi wa habari kudhibiti habari hasizozipenda zisitoke. Hili yeyote mwenye uzoefu na ‘media’ ya Tanzania analielewa. Bahati mbaya sana hata jukwaa la wahariri kama taasisi imekuwa ikinufaika sana na fedha za shirika zisizo na maelezo ya kutosha chini ya mgongo wa shughuli mbalimbali.
- Toka ameingia amekuwa akiajiri wafanyakazi kwa upendeleo kama nitakavyoeleza hapo chini, hivyo ana watetezi wengi kwa sababu tu ‘walibebwa’, na inaeleweka kuwepo kwa vibaraka anaowalipa wanaoshinda kwenye ‘social media’ kama hii.
Kwa ufupi tumuangalie kwenye sehemu kubwa zifuatazo
UDINI
- Udini
- Ubadhirifu
- Kushuka kwa ufanisi
- Kuongeza gharama za uendeshaji
Natambua unyeti wa hii mada, na mara nyingi wenye busara wamekuwa wakikwepa kuijadili kiundani. Lakini ukimya kwenye hili unachangia kuongezeka kwa tatizo, wakati mwingine ni muhimu kulizungumza umma ujue.
Udini umetamalaki sana kwenye Shirika kwani kuna makundi mawili, waislam wanaotamba bila aibu kwamba ni zamu yetu, na wengineo ambao wamekuwa labeled na kundi la kwanza kama mafirauni au wakorintho. Hili jambo liko wazi sana na kwa sababu anatumia secret informers watu wamekuwa waoga hata kuongea.
Binafsi nasikitika udini nilioushuhudia kwa msomi huyu. Udini ulihusisha mambo mengi;
Alianza kwanza na umeneja, na alitumia accomplices kama kina Dr Asad ambaye alikuwa mjumbe wa board lkn alitumika kama ‘consultant” katika kuendesha udahili na kutoa marks za upendeleo kwa candidates wa umeneja.
- Kutoa vyeo kwa upendeleo. La kwanza alipofika alianziha scheme of work yak echini ya mwamvuli wa consultant “REDMA”. Kwenye hili kupanda ngazi kwa mfanyakazi hakukuangalia muda wa ajira wa mfanyakazi. NSSF ni moja ya taasisi za ajabu ambapo, mfanyakazi mwenye level ya elimu, say degree aliyetumikia Shirika kwa miaka 18 na rekodi nzuri ya performance, ana mshahara sawa na aliyeajiriwa mwezi uliopita!. Hili alilifanya makusudi hili kuwainua wapya na kuwakandamiza wa zamani. Uliza staff yeyote wa Shirika mwenye muda wa kabla ya Dr atakwambia jinsi alivyopandisha vyeo watu wake na kuwakandamiza ‘mafirauni” kama wanavyowaita.
Huyu aliwekwa kwa makusudi kwani baada ya hapo ajira zilizofuata zilikuwa za ‘Msikitini”. Unaweza usielewe hili lakini ndio ukweli wenyewe. Inasikitisha pale watoto wa wakulima walipoitwa kwenye usaili toka sehemu mbalimbali za Tanzania kwa gharama kubwa, ili kujustify open recruitment process, lakini hatimaye wanaoajiriwa ni yale majina aliyopelekewa Dr na wazee wanapokutana misikitini. Uliza watu walioitwa kwenye usaili watakwambia pale unaajiriwa kwa kigezo cha dini.
- Ajira za udini na undugu. Alipofika alihakikisha idara nyeti zote ameweka watu wa dini yake, au la basi boss wa idara anakuwa wa dini yake na surbodinates wote wanakuwa hawana nafasi ya kutoa ushauri. Kwanza alitangaza ajira za Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu (DHRA), cha ajabu watu wazito na wenye CV nzito walipigwa chini akachukuliwa Matesa, ambaye hata elimu yake ni questionable. Hili linaweza likathibitishwa na tume huru kwa kuwapitia walioomba hiyo nafasi na kuonyesha applications zilizofunikwa.
Matesa bila aibu ameajiri watoto wake waume wa watoto wake na wake wa watoto wake.
Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba. Hapa ujazungumzia watu wa Kisarawe.
Lakini la kuchekesha zaidi ni ajira za mafungu na bila kutangaza wala interview zinazofanyika mara kwa mara. Ni kawaida sana kukuta wanaletwa wafanyakazi kama 6 au 18 na kuambiwa wakaripoti idara mbalimbali na zile idara/sehemu zinashangaa kwa sababu hawana uhitaji wa watu hao.
Zamani tulikuwa na utaratibu m,adereva na wahudumu wa ofisi wanaajiriwa na mameneja wa mikoa, faida ya huu utaratibu zinajulikana. Lakini sasa hivi matesa kajaza madereva wake mikoani hata wasio na sifa. Kuna dereva moja halishindwa kuendesha gari, ikabidi ampe kazi nyingine na kumleta mtu wake tena.
Kuna wafanyakazi waliopachikwa ngazi ya ‘officer’ wakati hawana degree kama requirements za position zinavyotaka.
Kwenye idara ya uwekezaji alihakikisha anajaza watu wake ili kulinda uozo wake.
Hii ni kwa wote wakubwa na wadogo. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala Mr Mniwako alifukuzwa bila sababu za msingi na Dr hakuona ni kuchezea fedha za umma kumlipa mamilioni ya shilingi, hili kuzuia kushtakiwa.
- Kufukuzwa kazi kundi moja na kutofukuzwa kundi lingine.
Pitia kesi mbalimbali za nidhamu utagundua wafanyakazi wengi walifukuzwa kwa kuonewa na ndo maana wengi wamefungua kesi.
UBADHIRIFU
Hapa ndipo penye uvundo wa karne.
Dr pamoja na kujitia ni mtu wa dini huwa nashangaa sana madhambi ya ubadhirifu anayofanya. Kwa picha ya nje, ongea na macontrakta watakwambia madeni wanaoidai NSSF na jinsi wanavyopigwa dana dana, ongea na wanachama watakiri kuwahi kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi, kadhalika wafanyakazi wa Shirika kucheleweshewa mishahara na malipo mbalimbali. Kwa ufupi kwa tulio ndani hali ya kifedha ni mbaya.
Lakini yote hii imesabnabishwa na ufisadi uliokithiri, na ninatoa rai ya kuwepo kwa special audit kwenye hili. Kwa nature bya shughuli za shirika huwa tuna balance short term investments na long term investments kulingana na projected short tern na long term liabilities. Lakini kwa utawala huu fedha zote zililazimishwa kwenda long term investments. Sababu iko wazi, hata kama hizo long term investments hazilipi, commission yake ni kubwa, yaani ni rahisi ‘kupiga’ fedha kubwa.
Angalia majengo makubwa Kigoma, Kahama, Arusha, Kilimanjaro na kwingineko. Yamejengwa kwa gharama kubwa(inflated costs) na hamna wapangaji! Hivi ni mabilioni mangapi ya watanzania yamezikwa? Dege beach, daraja la kigamboni etc.
Viwanja vilivyonunuliwa kwa inflated price ni vingi mno!
Tunamshukuru sana Mkulo aliyejenga asset base kubwa ambayo kina Dr wanaibomoa. Na kuna wajinga wanamsifu Dr kwa miradi isiyolipa naya kifisadi aliyoifanya, badala ya Kumsifu Mkulo kwa sound financial management iliyosababisha tuwe na strong asset base!
Kwenye ewekezaji kuna uvundo mwingi, rai yangu kuwe na SPECIAL AUDIT.
KUSHUKA KWA UFANISI
Kwa maelezo hayo juu ni wazi ufanisi utashuka. Ufanisi umeshuka sana hasa eneo la uandikishaji wanachama wapya na ukusanyaji michango. Kwa kiasi kikubwa hili limetokana na utawala wa kiimla na ushirikishwaji duni wa wafanyakazi kwenye uaandaaji mipango na mikakati inayotekelezeka.
Dr amekuwa aki dictate malengo mapya bila kuwa na justification. Mfano kuweka malengo ya kuandikisha wanachama 500,000 toka sekta isiyo rasmi wakati shirika toka lianze lina wastani wa idadi ya wanachama 500,000! Na hapo hamna mikakati na resources za kutosheleza zilizowekwa.
Vilevile kumekuwa na upangaji wa wafanyakazi kwenye idara husika bila kuwahusisha idara husika.
Sababu mojawapo ya kuweka malengo makubwa hata yasiyofikika hili aweze kutumia pesa zaidi kwani sheria yetu inataka matumizi yasizidi asilimia 15 ya kipato.
KUONGEZEKA KWA GHARAMA
Kutokana na maelezo ya juu nidhahiri gharama zitapanda. Shirika limekuwa na wafanyakazi wengi kuliko wanaohitajika sababu tu mtu alikuwa na ajenda ya kuajiri ‘wenzetu’ bila kuangalia mahitaji.
Vilevile vimeundwa vyeo vipya vingi hili kutengeneza nafasi za ‘wenzetu’. Pia uwekezaji uliopitiliza usiozingatia miiko, ufanisi, urari na uhitaji kwa wakati uliopo.
RAI KWA WANACHAMA NA WATANZANIA
- Hasara kwa shirika ni kubwa sana. Bahati mbaya vyombo vya udhibiti kama bodi havina nguvu na wamekuwa wakifaidika kwa malipo mbalimbali. Najua kwenye bodi kuna uwakilishi wa wafanyakazi kupitia Shirikisho, lakini wameshindwa kulinda maslai ya wanachama. Nawashauri mdai mabadiliko hili wawakilishi kwenye bodi wapigiwe kula kama ilivyo Kenya.
- Iundwe tume huru hili kuchunguza shutuma hizi ambazo ni nzito na nina uhakika ukweli utawekwa wazi. Ili la tume huru ni muhimu sana kwani litaondoa propaganda zinazoendelea na kuwachanganya watanzania, wasijue ukweli ni upi.
GAZETI KUBWA NA UMEJITAHIDI SANA KUANDIKA LAKN ULICHOANDIKA KINA UKAKASI MAANA HAKUNA USHAHIDI ZAIDI YA MAELEZI AMBAYO HATA MLEVI AU MVUTA BANGE ANAWEZA KUANDIKA AU KUELEZA..! THIBITISHA MADAI YAKO KWA TAKWIMU NA USHAHIDI WA KUONEKANA MFANO: VYETI VYA WALIONYIMWA AJIRA NA VYETI VYA WALIOPEWA AJIRA ILI TULINGANISHE NAVTUJIRIDHISHE KAMA HUNA HIVYO VITU FUNGA DOMO MAANA "NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK" ITAKUWA NI MANENO YA KWENYE VIJIWE VYA KAHAWA TUU...!!UKWELI KUHUSU NA DR. DAU NA NSSF

Sometimes shallow minded people should desist from contributing issues. This guy has laid facts bare.Given the fact that he is from within why should we doubt him?The govt should carry out staff audit,including investigating how employment opportunities were offered.
Tujitegemee,Kwa majibu haya, mnasababisha kuhalalisha kile alichokileta mwanzisha
Mada . Pia Nimeshangazwa sana na utetezi wa Mohamed Said.