Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Kama dr dau kafanya makosa ipo siku yatafumuka,lakini hizi juhudi mnazofanya kumpaka matope kamwe hazitafaulu
 
nimesoma kwenye post hii nimekutana na upumbavu tu. pengine na mhusika ndivyo alivyo. lete data acha majungu.
 
Upuuuuuuzi sana Tanzania. Nadhani huko tunakoelekea kutakuwa na mushkil wa dini. Ukitazama tangu Uhuru Wakristo ndiyo wametamalaki madaraka zaidi, lakini wao ndiyo wa kwanza kutuhumu udini pindi tu Mwislamu akimteuwa Mwislamu mmoja au wawili mfululizo!
Lau Magufuli angekuwa Mwislamu by now watu wangekwishaanza kumtuhumu na udini. Akh, lini watu wataanza kuwa wa kupenda ukweli na haki?
 
GET LIFE MAN, CHUKI NA UBAGUZI UTAKUSABABISHIA MARADHI YA MSONGO WA MAWAZO NA SHINIKIZO LA DAMU BURE, SISI SOTE NI NDUGU MOJA WAZUNGU NA WAARABU WALIKUJA TU KUIBA RASILIMALI ZETU
 
tukiingia TRA na CRDB wachaga wamejaa utafikiri tupo Moshi
mkuu, hawa jamaa wakabila sana na ni hatari sana kwa ustawi na umoja wa kitaifa wa nchi yetu. usomi haibaki kuwa sababu ya wao kuendelea kujaa katika taasisi hizo. kuna wakati nilifikiri hata michakato katika taasisi zilizo chini ya wizara za serikali kuu ifanywe na sekretariati ya ajira and not just kuwaachia wachagga na wapare waendeleze gurudumu la ukabila na ukanda hapa.
 
Nimecheka niliposoma pale ambapo wale wa msikitini wanavyowaita wengine "mafirauni!"
 

Siku hawa wakolosai na waefeso wakianza kuupenda UKWELI ndio Siku Kiyama kitasimama.
Wacha twende nao tu hivyo hivyo na Roho zao korosho. Mbele ya Safari Km kutakalika hapa Mungu anajua.

Ukishampa Hatamu mtu asiejua Twahara ni kitu gani basi Usitegemee kheri yyt.
 
Enzi ya Dau waliofaidika ni wengi ndani ya NSSF hasa wale wakurugenzi wa vitengo Kama akina Magoli na wenzao , hao Kwa sasa wapo busy mda Wote kuhakikisha kuwa hakuna JIPU linasogea Hapo NSSF maana wanajua kuwa wakiruhusu utumbuaji wa Majipu hakuna ambaye atapona japo wengi walikuwa wakila Dili na Wizara ya Ujenzi ile ya Enzi za baba J.seka .
 
Dr Dau ni JIPU kubwa lakini tatizo nyota yake ni ya Lugumi hivyo ni vigumu Kwa magu kumtumbua JIPU labda ajidai kuandamana na chadema .
 
Jagiro,
Nimekusoma kuhusu Dr. Dau na NSSF.
Nimeona makosa mengi ya kiuandishi wakati nakusoma.

Hii imenisaidia kupima uwezo wako.

Ukipenda ninaweza nikahama kujadili muktadha wa ulichoandika tukasomeshana
namna ya kuandika kitaalamu.

Kwa sasa nitakujibu katika hayo ulomshutumu Dr. Dau moja tu.
''Udini.''

Tukitoka katika udini tutajadili hayo mengine In Shaallah.

Suala la udini hata serikali wanaliogopa sijui wewe umetoa wapi ujasiri huu wa ati
kumshutumu Dr. Dau kwa ''udini.''

Kukusaidia ujue tatizo la udini nchini petu nakushauri uwasome watafiti hawa na
usirejee hapa Majlis hadi umekamilisha kazi hiyo.

Msome P van Bergen (1981), Sivalon (1992) na Njozi (2002).
Waandishi hawa wote hakuna hata mmoja aliewashutumu Waislam kwa udini.

Kidole kilielekezwa upande mwingine.

Njozi alifanya majumuisho ya waandishi hao waliomtangulia na akaja na taarifa
zilizoitisha serikali na kitabu chake kikapigwa marufuku.

Imekuwa kosa la jinai kukutwa na kitabu hicho cha Njozi.

Maudhui ya kitabu cha Njozi ni vipi Waislam wameathirika na udini na akatoa
ushahidi.

Kama nilivyokueleza hapo juu.
Serikali imepiga marufuku kitabu hiki kusomwa Tanzania.

Ni kosa la jinai kukutwa na kitabu hicho.
Lakini unaweza kukisoma hapa chini:
Mwembechai Killings and the Political Future of Tanzania
 
Kwahiyo kukisoma kwenye Blog yako siyo kosa la jinai, au unavyoendelea kusambaza upupu huu siyo jinai
 
Sidhani kama atarudi tena huyu!!
 
Aya sasa nilijua kuhusu udini litazungumzwa. Eti udini Kwanzaa taifa baadayeeeee..................... Kama hujui cut your mouth and ur hands
 
Nyie watu, haya madini ya watu weupe yatawaua bure kwa pressure,waliozileta wengi wao wameshaachana na huo upuuzi, baada ya malengo yao ya kukuibieni kukamilika.
 
Nyie watu, haya madini ya watu weupe yatawaua bure kwa pressure,waliozileta wengi wao wameshaachana na huo upuuzi, baada ya malengo yao ya kukuibieni kukamilika.

Wewe n mpuuzi huna unachotumia hapo zaid ya kuletewa na watu weupe anza reform kwako kwanza vua nguo zote, tupa hiyo simu yako cjui pc maana vimeletwa na watu weupe. Wewe watu weupe unaona wameleta dini tu?
 
Ndugu natumia vyao vyenye manufaa kwangu,hizo dini wewe zimekunufaisha nini zaidi ya kuleta mifarakano kwa baadhi ya binadamu kama wewe wenye kuendelea kuwa Watumwa kifkra
 
Ndugu natumia vyao vyenye manufaa kwangu,hizo dini wewe zimekunufaisha nini zaidi ya kuleta mifarakano kwa baadhi ya binadamu kama wewe wenye kuendelea kuwa Watumwa kifkra

Manufaa unayapima vpi wewe nyumbu? Kwa kuwa unatumia simu kupost ujinga ndo unaona manufaa? Kuna watu hizi din zinatupa hofu ya Mungu kama wewe unavyoona manufaa kwenye simu na nguo ulizovaa
 
Yaani we wa ajabu kabisa unatiwa hofu na kitu usichokiona tena hiyo unayoiita hofu kakujaza ujinga binadamu mwenzio. Umeshindwa kutawala ubongo wako mwenyewe unaona ufahari kutawaliwa!.Ina maana bila hao waliokuletea imani,wewe usingeishi. Amka acha ujinga
 

Ni kama wewe ulivyomjinga unashindwa kuishi bila kutumia vitu vya hao watu weupe? Alafu kutawaliwa wewe had sasa unatawaliwa na mtu mweupe sembuse mimi kutawaliwa na nisiyemuona? Hujielewi maana kuna vitu vingi havionekan na bado vinatokea kama wewe shababi bas pingana na umauti basi gangamala roho yako isitoke. Utakubal vp kuruhusu uhai wako utokomee uende usikojulikana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…