Dahh ze dudu nimeanza kukusikia kitambo tangu nipo kidato cha tano hadi leo hii naingia sua mwaka wa kwanza mkuu shida nini na utamaliza lini.......kingine nitafutie kademu kazurikazuri mkuu
Mwache dogo aje afaidi totozzzz za mazimbu
we jamaa unawaza ngono tuu...sua haina masihara sana..karibu mazimbu dogo!!
kiongozi mimi napenda mbunye kichizi na ili nisome kwa amani kila siku lazima nipate hiyo mambo yani am addicted to it ndo mana naulizia mapema ili nikifika tu tarehe 13 nikamatie totoz nackia kuna jamaa(lecturer) huwa nae anapenda sana totoz za first year kwenye kozi yetu sasa yule nitaenda nae sawa..
Mbona unatutisha hivi hyo agric Eng n ngumu sana
Aisee kama n hvyo bas n hatarii kwa hyo tufanyje ili tugraduate
Daahh umenichekesha sana mzazi!! shida humu watu wanataka waonekane wanasoma rocket science...yaani mambo magumuuuu kumbe vitu kawaida tu!!!
Jamani vp kuhuxu fucuty ya Horticulture na Agronomy ipi nzur na unapata ajira haraka en zina deal na nin hz cozi zote mbl???
ni kozi nzuriii saNa iyo ukifanikiwa ku graduate... but inabidii uwe mzuri sana kwenye mathematics pamoja na uchumi all da best kijanA
ahsante broooo......nimekumanya.
mkuu mimi mwenyewe nipo aea mkuu tutafutane
haHaH... pouwa kijaNa all da best .. ila ukumbuke ku graduate with A's na si AIDS