Ukweli kuhusu Biblia

Ukweli kuhusu Biblia

Epuka matapeli haraka!!! hakuna "Biblia ya Waprotestanti" kama nilivyo ona sehemu fulani baada ya mimi kuandika Biblia ni Kitabu cha Kanisa Katoliki. Ieleweke kwamba kuna Biblia moja halali yaani "Biblia Takatifu" iliyoandikwa mwaka 399 BK chini ya Papa Damasius kama Biblia ya kwanza.

Historia inadhibitisha hilo kwa sababu Yesu alikuwa haongei na kuandika na wala hakuwa na Katibu na wala hakuacha maagizo ya kuandika Biblia.

MAMBO 10 KILA MKRISTO AFAHAMU.
1. Hakukuwa na Biblia kwa miaka 399 BK ya kwanza baada ya Kristo ( Kanisa Katoliki ndilo lililo anza na baadaye ndiyo ikaandikwa Biblia )

2. Kanisa katoliki ndilo lililoamua kuwa na biblia kwa kuchagua vitabu 27 kati ya vitabu zaidi ya 300 vya Injili, nyaraka na kuviita Agano Jipya.

3. Padre Tertullian ndiye alitoa jina la "Agano Jipya" kwa Biblia Takatifu, pia ndiye mwandishi wa Kilatini mzee zaidi.

4. Ni kanisa katoliki ndilo lililoamua ni vitabu vipi viingizwe katika Agano Jipya baada ya kusambaa hati nyingi za uongo.

5. Ni kanisa katoliki ndilo lililotoa Biblia kwa Ulimwengu kwa ajili ya kuwarahisishia waumini wao wakatoliki kujisomea kama kitabu kimoja chenye vitabu vingi ( Hakukuwa na madhehebu yoyote ya kiprotestant mpaka mwaka 1517 )

6. Mwaka 367 baada ya Kristo, mtakatifu Papa Damasius wa kwanza akiwa na baraza wakati wa upapa wake alichagua hati za maandiko ambazo aliona ni za kweli zilizovuviwa na Roho mtakatifu.

7. Tamko la baraza la Roma chini ya papa Damascus wa kwanza mwaka 382 BK ndiyo lilio halalisha Biblia takatifu.

8. Vitabu rasmi 27 viliongezwa kwenye hati au vitabu 46 vya Agano la Kale na kusababisha mkusanyiko mmoja wa vitabu 73 uitwao Biblia.

9. Mwaka 367 hadi 397 BK mtakatifu Padre Jerome akisaidiwa na Roho Mtakatifu alitafsiri maandiko katika wa miaka 30 na kuiita Biblia Jerusalem. yeye ni padre Mkatoliki, mwanatheolojia na daktari wa kanisa, alizungumza Kigiriki, Kiebrania na Kilatini; Pia alisoma Kiaramu Lugha ya Yesu alivyozungumza.

10. Papa Mtakatifu Siricius ndiye aliyeyaita Maandiko Matakatifu BIBLIA maana yake ni mkusanyo wa vitabu. Na Askofu Mkuu Steven Langton na Kardinali Hugo Desancto Caro wanasifiwa kwa kuunda Sura na mistari au aya katika Biblia yote.

NB
Martin Luther mwanzilishi wa kwanza wa madhehebu yote kutoka kanisa Katoliki (yaani Waprotestant) alisema "Tunawashukuru Kanisa Katoliki, Bila Kanisa Katoliki tusingekuwa na Biblia Takatifu" mwaka 1517 ujerumani. Na ndiyo huyu aliyepunguza vitabu kwenye Biblia na kutengeneza anayotaka yeye.

Wakatoliki wote tuseme Amina.
Yaani usichojua ni kwamba vitabu vyote vilivyopo kwenye mkusanyiko kuanzia agano la kale hadi jipya hakuna mwandishi mrumi.
Pili utakapokuwa utaacha utoto kwa kujua kuwa dhehebu la kwanza kujitengeneza nje ya kanisa ni Rc na kupelekea mauaji rasmi kuanza dhidi ya mitume na wanafunzi wa Yesu kuuawa wakisingiziwa uzushi.
Tatu nafasi ya papa wa RC ni ile iliyokuwa kiti cha kaisari.
Hadi wa leo RC ni kanisa na serikali ya ki secular kwa pamoja ndio maana unaona wana tuma mabalozi nchi mbalimbali duniani na pia wana kiti na mwakilishi UN.
Martin Luther ndie kasisi wa kwanza kuitafsiri biblia kwa lugha ya kijerumani kutoka ile ya asili ya kiebrania/kiyunani na kuwafungua wengine wajisomee na waachane na mafafanuzi ya mapadre bila wao kujua kilichoandikwa kwenye biblia.
Hivyo wanaodai kuandika biblia ni propaganda za kuwachanganya wasiojitambua.
Ukweli ni kwamba hivyo vitabu vyote vilivyopo ndani ya biblia vilikuwa vimeandikwa miaka mingi sana kabla ya kukusanywa pamoja huo mwaka unaotajwa 399.
Na hapo wanafunzi wa Yesu washachinjwa vya kutosha na dhehebu lililojitengeneza nje ya kanisa kwa msaada wa kaisari Kostantine na kujipa haki ya kulimiliki kaisa.
 
Sasa mbona unaleta ushabiki wa kimadhehebu? Fahamu kuwa kuna nyakati na manabii wake na mpaka sasa Mungu ana nabii wake kwa kizazi hiki baada ya martin Luther na uamsho wa kanisa. Katoliki ilishapitwa na wakati wake na Mungu hayuko huko wamebaki wenyewe tu wakikoroga mambo
 
Kikubwa ni kuyaishi hayo yaliyoko kwenye bible, kujivunia kuwa nimefanya hiki au kile haisaidii kukufikisha kwa MUNGU MKUU.

Yesu hatarudi kuchukua kanisa linaloitwa RC au Protestant bali atakuja kuwachukua wale wanyoofu wa moyo na wanaoliishi neno huku wakiongozwa na ROHO MTAKATIFU.

Tumuombe neema na rehema Mungu atujalie kumjua yeye pekee na Yesu Kristo aliyemleta afe kwa ajili yangu na wewe ili tupate uzima wa milele.

Mtu ajivunie kuwa ndani ya Kristo na si ndani ya dhehebu flani au chini ya nabii au mtume flani.
 
Yaani usichojua ni kwamba vitabu vyote vilivyopo kwenye mkusanyiko kuanzia agano la kale hadi jipya hakuna mwandishi mrumi.
Pili utakapokuwa utaacha utoto kwa kujua kuwa dhehebu la kwanza kujitengeneza nje ya kanisa ni Rc na kupelekea mauaji rasmi kuanza dhidi ya mitume na wanafunzi wa Yesu kuuawa wakisingiziwa uzushi.
Tatu nafasi ya papa wa RC ni ile iliyokuwa kiti cha kaisari.
Hadi wa leo RC ni kanisa na serikali ya ki secular kwa pamoja ndio maana unaona wana tuma mabalozi nchi mbalimbali duniani na pia wana kiti na mwakilishi UN.
Martin Luther ndie kasisi wa kwanza kuitafsiri biblia kwa lugha ya kijerumani kutoka ile ya asili ya kiebrania/kiyunani na kuwafungua wengine wajisomee na waachane na mafafanuzi ya mapadre bila wao kujua kilichoandikwa kwenye biblia.
Hivyo wanaodai kuandika biblia ni propaganda za kuwachanganya wasiojitambua.
Ukweli ni kwamba hivyo vitabu vyote vilivyopo ndani ya biblia vilikuwa vimeandikwa miaka mingi sana kabla ya kukusanywa pamoja huo mwaka unaotajwa 399.
Na hapo wanafunzi wa Yesu washachinjwa vya kutosha na dhehebu lililojitengeneza nje ya kanisa kwa msaada wa kaisari Kostantine na kujipa haki ya kulimiliki kaisa.
Acha uongo wewe roma imekuwa serikali juz juz tu baada ya makubaliano kati ya pope na fashisti Mussolini. Ila kanisa lilipata upinzan sana mwanzo wa kueneza iman kutoka kwenye utawala wa roma maana ndio walikuwa watawala by then. So kwenye hizo shida ikatokea bahati wakat wa vita constantino akiwa mtawala wa Rumi ndio akasema ameota kuwa usiku aliona njoz ya msalaba ikimwambia kwa ishara hii atashinda vita. Na kweli ameenda vitan akshinda vita so yeye ndio akaamua kuongoka na wazee wa kanisa by then wakatumia nafasi ya Rumi dunian kueneza injili. Sasa ni vipi Rumi ikawa makao ya kanisa ni kuwa B4 walikuwa Jerusalem ila vita na makobaz walishindwa ikabidi wahame mazima.
 
Duh et kanisa la Mungu limegeuka serikali juzijuzi?
Ndio maana nilitahadharisha mapema hili sii lile kanisa la mitume wa Yesu bali dhehebu la kwanza kujitengeneza nje ya lele kanisa.
 
Kanisa ni binadamu wewe. Tofautisha kanisa na taasisi. Mungu harud kuchukua majengo wala taasisi. Mungu anakuja kwako na daftari linaloonyesha matendo yako yote uliyotenda hapa dunian. So povu likikutoka cjui nini haikufikish mbinguni. Cha msingi fuata kanuni za Mungu utakuwa salama.
 
Biblia ni hadithi za kutungwa sawa na Hekaya za Abunuwasi au riwaya za Alfu Lela ulela.

Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
IMG-20240205-WA0003.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Endeleeni kufirana huku mkijipa matumainia,wewe unataka kutuambia kuwa wayahudi hawana agano la kale?kimsingi vitabu mmeongeza kwenye agano la kale Ambavyo mnavitabu vya ziada Ambavyo wahayudi hawana kwenye agano lao la kale
 
Kanisa ni binadamu wewe. Tofautisha kanisa na taasisi. Mungu harud kuchukua majengo wala taasisi. Mungu anakuja kwako na daftari linaloonyesha matendo yako yote uliyotenda hapa dunian. So povu likikutoka cjui nini haikufikish mbinguni. Cha msingi fuata kanuni za Mungu utakuwa salama.
 
Epuka matapeli haraka!!! hakuna "Biblia ya Waprotestanti" kama nilivyo ona sehemu fulani baada ya mimi kuandika Biblia ni Kitabu cha Kanisa Katoliki. Ieleweke kwamba kuna Biblia moja halali yaani "Biblia Takatifu" iliyoandikwa mwaka 399 BK chini ya Papa Damasius kama Biblia ya kwanza.

Historia inadhibitisha hilo kwa sababu Yesu alikuwa haongei na kuandika na wala hakuwa na Katibu na wala hakuacha maagizo ya kuandika Biblia.

MAMBO 10 KILA MKRISTO AFAHAMU.
1. Hakukuwa na Biblia kwa miaka 399 BK ya kwanza baada ya Kristo ( Kanisa Katoliki ndilo lililo anza na baadaye ndiyo ikaandikwa Biblia )

2. Kanisa katoliki ndilo lililoamua kuwa na biblia kwa kuchagua vitabu 27 kati ya vitabu zaidi ya 300 vya Injili, nyaraka na kuviita Agano Jipya.

3. Padre Tertullian ndiye alitoa jina la "Agano Jipya" kwa Biblia Takatifu, pia ndiye mwandishi wa Kilatini mzee zaidi.

4. Ni kanisa katoliki ndilo lililoamua ni vitabu vipi viingizwe katika Agano Jipya baada ya kusambaa hati nyingi za uongo.

5. Ni kanisa katoliki ndilo lililotoa Biblia kwa Ulimwengu kwa ajili ya kuwarahisishia waumini wao wakatoliki kujisomea kama kitabu kimoja chenye vitabu vingi ( Hakukuwa na madhehebu yoyote ya kiprotestant mpaka mwaka 1517 )

6. Mwaka 367 baada ya Kristo, mtakatifu Papa Damasius wa kwanza akiwa na baraza wakati wa upapa wake alichagua hati za maandiko ambazo aliona ni za kweli zilizovuviwa na Roho mtakatifu.

7. Tamko la baraza la Roma chini ya papa Damascus wa kwanza mwaka 382 BK ndiyo lilio halalisha Biblia takatifu.

8. Vitabu rasmi 27 viliongezwa kwenye hati au vitabu 46 vya Agano la Kale na kusababisha mkusanyiko mmoja wa vitabu 73 uitwao Biblia.

9. Mwaka 367 hadi 397 BK mtakatifu Padre Jerome akisaidiwa na Roho Mtakatifu alitafsiri maandiko katika wa miaka 30 na kuiita Biblia Jerusalem. yeye ni padre Mkatoliki, mwanatheolojia na daktari wa kanisa, alizungumza Kigiriki, Kiebrania na Kilatini; Pia alisoma Kiaramu Lugha ya Yesu alivyozungumza.

10. Papa Mtakatifu Siricius ndiye aliyeyaita Maandiko Matakatifu BIBLIA maana yake ni mkusanyo wa vitabu. Na Askofu Mkuu Steven Langton na Kardinali Hugo Desancto Caro wanasifiwa kwa kuunda Sura na mistari au aya katika Biblia yote.

NB
Martin Luther mwanzilishi wa kwanza wa madhehebu yote kutoka kanisa Katoliki (yaani Waprotestant) alisema "Tunawashukuru Kanisa Katoliki, Bila Kanisa Katoliki tusingekuwa na Biblia Takatifu" mwaka 1517 ujerumani. Na ndiyo huyu aliyepunguza vitabu kwenye Biblia na kutengeneza anayotaka yeye.

Wakatoliki wote tuseme Amina.
hii ndio sababu Yesu alisema, ni lazima tujazwe Roho Mtakatifu, kwasababu wakatoliki au yeyote yule, au hata wayahudi, wangepunguza Neno au kuongeza, kama una Roho wa Bwana haina shida kwasababu wewe hauongozwi kwa maandishi yaliyopo kwenye makaratasi, unaongozwa na Roho Mtakatifu. hayo maandishi hata yasingekuwepo Roho Mtakatifu huwa anashuhudia ndani ya mioyo ya wale waliompokea kuwa hiki ni dhambi na kile sio dhambi, hili kiliandikwa kiusahihi na hiki sio, hiki fanya na hiki usifanye, ndio maana kuna mistari mingi kwenye Biblia inayoonyesha unywaji wa pombe na wakatoliki waliiweka kwasababu wanapenda pombe, ila Roho Mtakatifu ametukataza tusinywe pombe, tusioe mitala n.k hivyo haileti madhara yeyote kwa mkristo wa kweli. shida inakuja kwa wale wanaosoma tu bila ufunuo wa Roho Mtakatifu kulielewa Neno, hawa ndio huwa wanaenda kimwili hawaenendi kiroho, na hawa ndio walioleta madhehebu ya ajabu ajabu hapa duniani kila kona kwasababu wanatumia akili, hawatumii Roho Mtakatifu.

kanisa la ngurumo ya upako, grace zoazoa na mmewe, mashahidi wa yehova, wasababu, na wengine wengi, wanasali ila hawana udhihirisho wa Nguvu za Mungu kwasababu hawana Roho Mtakatifu na hawamtaki ajae mioyoni mwao. walakini asiye na huyo Roho wa Kristo huyo sio wake.

Luka 24:49 Yesu alisema, Na tazama nawaletea juu yenu ahadi ya Baba yangu, lakini kaeni humu mjini hadi mvikwe uwezo utokao juu.

Yohana 16:13 Lakini atakapokuja huyo Roho, atawongoza kwenye kweli yote, maana hatasema kwa mamlaka yake mwenyewe, bali atasema atakayoyasikia na kuwajulisheni yatakayokuja.

Matendo 1:8, Lakini mtapokea nguvu akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalem, Uyahudi kote na Samaria hadi miisho ya dunia.

Warumi 8:9, Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamufuati mwili, bali mwaifuata roho. lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake.

hivyo jueni leo, ninyi nyote ambao hamjajazwa Roho Mtakatifu, ambao hamna Roho Mtakatifu, ninyi sio watu wa Kristo, hata akija leo hawawachukua.
 
Umeongea mengi yalio na uhalisia ila hata hivyo kuna unayojichanganya.
Mfano ndoa za mitaala
Vipi kuhusu watu kama kina Daudi, Yakobo, Abraham nk hawakuwa manabii?
Hawakuwa wakiongozwa na Roho mtakatifu?
Ni wapi katika biblia palikataza mtu kuoa mke zaidi ya mmoja au kukemea hao kina Daudi kwa sabababu ya mke zaidi ya mmoja?
NB: Roho mtakatifu ni roho wa neno na ndio maana roho hupimwa na neno na sii neno kupimwa na roho.
Pia usisahau kuwa kuna tofauti kati ya neno na andiko.
 
Mbona hamlisemei kanisa la Coptic na biblia yao
Hawa jamaa mbumbumbu wanajisahaulisha sana na kujizima data
Wakoptic walikua na Biblia kongwe kuliko hiyo ya Warumi na ni ina Maandiko yale yale na ya ziada
Sasa sijui nao walikua Wakatoliki!
🤔🤔
 
Umeongea mengi yalio na uhalisia ila hata hivyo kuna unayojichanganya.
Mfano ndoa za mitaala
Vipi kuhusu watu kama kina Daudi, Yakobo, Abraham nk hawakuwa manabii?
Hawakuwa wakiongozwa na Roho mtakatifu?
Ni wapi katika biblia palikataza mtu kuoa mke zaidi ya mmoja au kukemea hao kina Daudi kwa sabababu ya mke zaidi ya mmoja?
NB: Roho mtakatifu ni roho wa neno na ndio maana roho hupimwa na neno na sii neno kupimwa na roho.
Pia usisahau kuwa kuna tofauti kati ya neno na andiko.
ungelikuwa naye usingesema hivi, mtafute tafadhali,pls.
 
Hebu wewe uliye naye semea manabii kama kina Abraham, Daud, Yakobo nk kuwa na mke zaidi ya mmoja hawakua naye?
Hupaswi kujificha kwenye ujuzi usio na msingi uliojengwa juu yake .
Fundisha ABC's za Mungu kupitia neno ambalo yeye ndilo hilo.
Hiyo ndiyo shauku kwetu sote tunaopenda kujifunza.
 
Back
Top Bottom