Mwanza ulifikia wapnimegugo pia na kutembea majiji yote
I Agree...kwenye hali ya hewa wapndshie mwanza ad 70 amna joto kaliFair enough ...
Avoid Personalization try to balance story ata mm napapenda Arusha..Penda msipende eti stendi kubwa inaitwa nyegezi.
Yaani vitu vingi nimeshangaa hata ziwa nizuri ila ukilikaribia haijawekwa mkao wakuvutia mtu.
Angalia letu lake manyara or lake duluti inavutia kuliangalia.
Mwanza ni moja ya jiji tamu sana watu hawajui tu japo mimi si mzawa wa Mwanza nlkua naenda kikazi...pia ni wakarimu huwezi kuulizwa uenyeji wako nilipapenda nikaamua nitafte na kiwanja na makazi kabisa japo naenda mara chache na siishi apo..kubaya lakini sio kama inavyopondwa
Umetumia Formular gani kupata hizo numbers zako??Habari wana jamii form
kwa muda mrefu kumekuwa na battle kati ya A-city Vs Rock City. Nimefuatilia kwa makini nimeona pande zote hakuna anayekubali kushindwa.
Lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida ukweli ndio huu
01. Population arusha city iko half of Mwanza rock city
02. Kujengwa kwa city Chuga iko 90% wakati rock city iko 50% wakati dar city 100% na a-city 75%
03. Kwa ujanja a-city 80%, dar city 99% na rock-city 40%.
03. Kwa mzunguko wa hela Dar-city 90%, A-city 70% na rock city 60%
04. kwa hali ya hewa A-city 100%, Dar-city 40% Na Rock City 50%
NOTE; i was born in a city but, i am living in monrovia