Juzi nilitembelea ofisi ya afisa elimu wa mkoa na kuhuliza lini ajira uwalimu ztatoka,alinijibu kuwa tutegemee mwezi wa kumi na moja au wa kumi na mbili mwanzoni ili watu waripoti mwakani mwezi wakwanza na akaniambia masomo yatakao pewa kipaumbele ni ya sayansi na mathematics na arts ni kiswahili na English ndo yenye upungufu