Ukweli kuhusu Afisa Utumishi Halmashauri Nzega

Huyo afisa namjua sana tangu anaanza kazi na kati ya watualiofanyanao kazi hapa halmashauri ya biharamulo mfungua zipu alikuwa ni mwochi na mbeo lakini huyo hapana namtetea sana
 
Kisaikolojia huyu Barafu inaonekana ndo kwezi mwenyewe (HRO) kama sio kweli aliyoandika amejisahau. Eti hana muda Wa kuingia mtandaoni kweli...mkaguzi Wa ndani kuhamishwa nalo sio kweli? Je bado yupo huyo mkaguzi? Naungana na Mandla Jr utueleze
1. Umekosana na watumishi wangapi hadi mchafuane hivi...?
 

wana jf binafsi namfahamu regina kwa sura na mengine hahahaha huu uzi utafichua mengi sana na hii bifu sio nzuri akiwa biharamulo nimekuwa mdogo sana kwake kukikaa mtaa mmoja .dah ngoja nikae pembeni
 
vunja mifupa kama bado memo iko...gonganeni tu nguvu mnazo, sababu mnazo na hela mnazo
 

Itazame upya Saikolojia yako....HRO hana uwezo wa kumuamisha mkaguzi Wa ndani...hiyo ni kazi na madaraka ya Wizara
 

Ndoa ya yule dada wa maji ni kweli tulisikia imevunjika japo kweli kwa maneno yalosemwa humu hata mm niliyaona sikuyaamini sana,ila watu ndivyo walivyo...kazi ya waTZ hiyo badala ya kusaka maendeleo tunapika majungu vijiwe vya kahawa
 
Huyo afisa namjua sana tangu anaanza kazi na kati ya watualiofanyanao kazi hapa halmashauri ya biharamulo mfungua zipu alikuwa ni mwochi na mbeo lakini huyo hapana namtetea sana

gwataimba uko sahihi huyu jamaa kwanza hata mitandao hana habari nayo hajui facebook jf wala twiter na sio mtu wa kujihusisha na mitandao ye ni mtu wa magazeti tu na mtu wa watu ukiwa nae nje ya ofic huwez jua kama ni afisa utumishi..hii ni story ambayo imeundwa kumchafua lakin bahat mbaya au nzuri same day mharibifu tukamjua kama wadau wa halmashaur ya nzega na vyanzo vya pale halmashaur vikatoa ushirikiano mzuri sana ktk kuweza wazi jambo hili...na akuna ndo iliyovunjika wala kugonganishwa watumishi watano..huu ni uchafuzi kama ww mnyetishaji una uhakika kuna vyombo vya kisheria kashitaki sio kuleta humu halafu kuanza kujisemesha pembeni na kujifanya mama wa kanisa kuwa unapakaziwa uzur tanzania yetu inaeka waz kila kitu...mtaharibiana system ya maisha huu ni utoto
 

barafu we ni noma. yaani unamfahamu DHRO Mr. Kwezi vizuri kama mmeo vile. Duh basi kazi. Na je umejuaje kama hizi ni fitina tu za kazi au la? Mbona tunasikia Jamaa kammega hata huyo Regina unayemshutumu? Je wewe barafu jamaa huwa anakutuma kwa mademu ukamletee? Au jamaa hana siri kila akilala na demu anakuambia? Na kama hana demu kabisa basi tunatia mashaka na uanaume wake. Lakini pia utueleze kulikoni wewe kila anakoenda na wewe unahamishiwa aliko, unamahusiano gani na huyu baba mpenda hotpot kama wanavyomuita. Hebu tufahamishe mtaalam wa kujua mambo ya watu.
 
Wengine hatukubahatika kuuona uzi wa awali,kama kuna mwenye link pls au uunganishwe hapa tuweze kutoa maoni vizuri kwa baadhi yetu. Asanteni.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kwanza mim hao wahasibu kwenye hyo halmashauri ni kichefuchefu...hela yako halafu hawataki kuilipa yaani inawaumaa kama wanaitoa kwa acount zao...hii ni jino kwa jino lazima tutaheshimiana tu kila mtu kwenye ofice yake..pumbaaaavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…