Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Kuficha kusema ukweli ni ujinga na unafki. Ndani ya miaka hii 5 maisha yamekuwa magumu kupita kiasi kwa sababu ya serikali ya CCM.
Wao wamehodhi madaraka wanalipana mishahara mizuri na marupurupu na kupandishana vyeo tu, pesa hakuna wamewabana watumishi wa umma hawawaongezei mishahara na wamewaondolea allowances. Hii haikubaliki!
Unadanganya mtu eti unajenga nchi hupandishi mishahara, hii siyo sawa. Gharama za maisha zinapanda kipato kipo pale pale. Biashara haziendi kwa sababu mmeua uchumi wa watu.