Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Huo utafiti ulifanyikaje.Wadau
Utafiti uliofanywa tokea Mhesh Rais Magufuli aingie madarakani umeonyesha kuwa asilimia kubwa ya wanaopingana na juhudi zake wanavitabia vifuatavyo:-
1. Wengi wao ni mafisadi
2. Waliozoea kutumia madaraka yao vibaya
3. Wapiga deal
4. Wasiotaka kulipa kodi
5. Wasaliti
6. Wazembe
7. Wasiojielewa
8.Wahaini
9. Wezi na wabadhilifu.
Karibuni
Umesikia Magufuli kalipiameliya Wachina kuja kutibu watu Tanzania?Wadau
Utafiti uliofanywa tokea Mhesh Rais Magufuli aingie madarakani umeonyesha kuwa % kubwa ya wanaopingana na juhudi zake wanavijitabia vifuatavyo:-
1. Wengi mafisadi
2. Waliozoea kutumia madaraka yao vibaya
3. Wapiga deal
4. Wasiotaka kulipa kodi
5. Wasaliti
6. Wazembe
7. Waliokosa uzalendo
8. Wahaini
9. Wezi na wabadhilifu.
10. Matapeli
11. Washirikina
12. Wasiopenda kufuata sheria
JPM Kanyaga Twende Mamilioni ya Watanzania Tunakuunga mkono.
Karibuni
13. WENYE WIVU na JPM na wenye WIVU na maendeleo ya Tz.Wadau
Utafiti uliofanywa tokea Mhesh Rais Magufuli aingie madarakani umeonyesha kuwa % kubwa ya wanaopingana na juhudi zake wanavijitabia vifuatavyo:-
1. Wengi mafisadi
2. Waliozoea kutumia madaraka yao vibaya
3. Wapiga deal
4. Wasiotaka kulipa kodi
5. Wasaliti
6. Wazembe
7. Waliokosa uzalendo
8. Wahaini
9. Wezi na wabadhilifu.
10. Matapeli
11. Washirikina
12. Wasiopenda kufuata sheria
JPM Kanyaga Twende Mamilioni ya Watanzania Tunakuunga mkono.
Karibuni
Watumishi wa umma wanaonyanyaswa kwa kunyimwa stahiki zao kwa kisingizio cha uhakiki,wapenda democrasia,wasio na ajira ila wanadaiwa na bodi ya mikopo walipe,watu waliobomolewa nyumba zao,wote pamoja hawatampenda.Wadau
Utafiti uliofanywa tokea Mhesh Rais Magufuli aingie madarakani umeonyesha kuwa % kubwa ya wanaopingana na juhudi zake wanavijitabia vifuatavyo:-
1. Wengi mafisadi
2. Waliozoea kutumia madaraka yao vibaya
3. Wapiga deal
4. Wasiotaka kulipa kodi
5. Wasaliti
6. Wazembe
7. Waliokosa uzalendo
8. Wahaini
9. Wezi na wabadhilifu.
10. Matapeli
11. Washirikina
12. Wasiopenda kufuata sheria
JPM Kanyaga Twende Mamilioni ya Watanzania Tunakuunga mkono.
Karibuni
Wadau

Kwa bahati mbaya tunashindwa kutofautisha kati ya kilio cha mwanasiasa na kilio cha mwananchi13. WENYE WIVU na JPM na wenye WIVU na maendeleo ya Tz.
Nashangaa mnaongelea camera utadhani ilikuwa yake, mimi nifunge camera halafu wengine wanataka iwe yao. Ungekuwa mwanasiasa ungesha gundua kuwa hiyo haikufanywa na serikali bali na chadema wenyewe. Fungua macho kijana tumia akili zako changanya na za utafiti utapata jibu kuliko kupaza sauti kwa ulicho kisikia tu kama kasuku. Eti alifanyiwa cpr aka survive wapi? Bongo hata first world cpr mitaani ni asilimia 10 tu wana survive. Amka ujue mengi.Kwa hiyo wanaompenda ni wale waliofanya lile tukio pale dom na kisha wakafungua kamera na kwenda kuzifunga kwa pumba?
Na wale waathirika wa kageraWatumishi wa umma wanaonyanyaswa kwa kunyimwa stahiki zao kwa kisingizio cha uhakiki,wapenda democrasia,wasio na ajira ila wanadaiwa na bodi ya mikopo walipe,watu waliobomolewa nyumba zao,wote pamoja hawatampenda.
Kama alivyolipia kikwete tar 22 Oct 2010.Umesikia Magufuli kalipiameliya Wachina kuja kutibu watu Tanzania?