Sheria ya kuweka watu vizuizini irejeshwe haraka

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Nchi Yetu Kwa Sasa Imeingia Katika Vita Kubwa Ya Kiuchumi. Jemedari Wetu Mkuu Dr John Magufuli Ndiye Anaongoza Vita Hii Ngumu Ya Kuhakikisha Kuwa Rasilimali Zetu Kama Madini Na Misitu Zinaleta Manufaa Makubwa Kwa Taifa Letu Badala Ya Kunufaisha Wawekezaji Wachache. Hata Hivyo Sote Tunajua Ugumu Wa Vita Hii Na Ndiyo Maana Hata Mhesh Rais Alitusihi Sana Tuweke Uzalendo Kwanza Kwa Kushirikiana Kwa Dhati Ili Sasa Tuweze Kushinda Vita Hii Na Hivyo Kuliwezesha Taifa Ketu Kujiondoa Kutoka Kwenye Dimbwi Kubwa La Umaskini Mkubwa.
Hata Hivyo Kuna Watu Miongoni Mwetu Ambao Wameamua Kwa Makusudi Kabisa Kutusaliti Kwa Tamaa Ya Fedha Ili Kukwamisha Juhudi Zetu. Baadhi Yao Wametumia Mwaya Wa Uhuru Wa Kisiasa Kwa Kutumia Majukwaa Kutekeleza Nia Ovu Waliyoyonayo Kwa Kushirikiana Na Watu Kutoka Nje Wasioitakia Nchi Yetu Mema.Na Watu Hawa Hawana Tofauti Na Wahaini Ambao Wameamua Kwa Makusudi Kihuhumu Nchi Yao.Nashauri Tu Kuwa Ili Kuweza Kuwadhibiti Wahaini Hawa Vizuri Basi Mchakato Wa Haraka Ufanyike Ili Sheria Ya Kuweka Watu Vizuizini 'Detention Act'' irejeshwe Na ianze Kutumika. Hakuna Namna Ya Kushinda Vita Hii Wakati Miongoni MwetuTumezungukwa Na Wasaliti. Wasaliti na Wahaini Siku Zote Hawana Tofauti Na Wauaji, Wabakaji, Wachawi, Walawiti, Wakata Viungo Vya Albino n.k. Ambao Adhabu Dhidi Yao Inajulikana Wazi.
Serikali Isiwaonee Huruma Watu Hawa Hata Kidogo Bali Washughulikiwe Ipasavyo Tena Kwa Nguvu Zote Na Bila Huruma Yoyote Ile.'
'There are only 2 choices Here,
You are Either With The Government, Or Be Against It.But I'm pretty sure you are all aware of the consequences of each choice'
Mhesh Dr John Magufuli Endelea Kuchapa Kazi Kwa Kuongoza Vita Hii, Watanzania Wengi Tunakuunga Mkono Na Tupo Pamoja Nawe Tukizidi Kukuombea Kwa Mungu Azidi Kukupa Uzima Na Afya Tele.
Karibuni
 
Sasa huku JF ndiko tunakobadilisha hizi sheria za nchi...?!

Kwa hiyo umekuja humu kumweleza nani, na ili iweje?!
Hiyo hamu yenu ya kuifanya nchi itawaliwe KIIMLA inaeleweka siku nyingi...

Unatumika kama chambio eeh...?!
 
Nchi Yetu Kwa Sasa Imeingia Katika Vita Kubwa Ya Kiuchumi. Jemedari Wetu Mkuu Dr John Magufuli Ndiye Anaongoza Vita Hii Ngumu Ya Kuhakikisha Kuwa Rasilimali Zetu Kama Madini Na Misitu Zinaleta Manufaa Makubwa Kwa Taifa Letu Badala Ya Kunufaisha Wawekezaji Wachache. Hata Hivyo Sote Tunajua Ugumu Wa Vita Hii Na Ndiyo Maana Hata Mhesh Rais Alitusihi Sana Tuweke Uzalendo Kwanza Kwa Kushirikiana Kwa Dhati Ili Sasa Tuweze Kushinda Vita Hii Na Hivyo Kuliwezesha Taifa Ketu Kujiondoa Kutoka Kwenye Dimbwi Kubwa La Umaskini Mkubwa.
Hata Hivyo Kuna Watu Miongoni Mwetu Ambao Wameamua Kwa Makusudi Kabisa Kutusaliti Kwa Tamaa Ya Fedha Ili Kukwamisha Juhudi Zetu. Baadhi Yao Wametumia Mwaya Wa Uhuru Wa Kisiasa Kwa Kutumia Majukwaa Kutekeleza Nia Ovu Waliyoyonayo Kwa Kushirikiana Na Watu Kutoka Nje Wasioitakia Nchi Yetu Mema.Na Watu Hawa Hawana Tofauti Na Wahaini Ambao Wameamua Kwa Makusudi Kihuhumu Nchi Yao.Nashauri Tu Kuwa Ili Kuweza Kuwadhibiti Wahaini Hawa Vizuri Basi Mchakato Wa Haraka Ufanyike Ili Sheria Ya Kuweka Watu Vizuizini 'Detention Act'' irejeshwe Na ianze Kutumika. Hakuna Namna Ya Kushinda Vita Hii Wakati Miongoni MwetuTumezungukwa Na Wasaliti. Wasaliti na Wahaini Siku Zote Hawana Tofauti Na Wauaji, Wabakaji, Wachawi, Walawiti, Wakata Viungo Vya Albino n.k. Ambao Adhabu Dhidi Yao Inajulikana Wazi.
Serikali Isiwaonee Huruma Watu Hawa Hata Kidogo Bali Washughulikiwe Ipasavyo Tena Kwa Nguvu Zote Na Bila Huruma Yoyote Ile.'
'There are only 2 choices Here,
You are Either With The Government, Or Be Against It.But I'm pretty sure you are all aware of the consequences of each choice'
Mhesh Dr John Magufuli Endelea Kuchapa Kazi Kwa Kuongoza Vita Hii, Watanzania Wengi Tunakuunga Mkono Na Tupo Pamoja Nawe Tukizidi Kukuombea Kwa Mungu Azidi Kukupa Uzima Na Afya Tele.
Karibuni
Utakuwa mpumbavu sana wewe
 
Back
Top Bottom