Ukweli juu ya corona (End of the world)

Ukweli juu ya corona (End of the world)

Nimesoma huu uzi mwanzo mwisho

Hakika kuna mambo ya siri sana ambayo ni muhimu.
Dunia tunaelekea mwisho ..

Watz wavivu kusoma sasa nadhan wengi tu hawajasoma hii thread wanaishia kusoma ccm na cdm vitu vya msingi wanaviacha...

Wachina watu wa ajabu ndio wametuletea corona...hamna cha kuficha na hili lazima wabebe mzigo ,tayar marekan inalijua hili nadhan wanachosubiri kwanza dawa ipatikane chanjo harafu mengine waanze kuishtak china.

Nadhan mwendelezo wa hili jambo unaweza athiri china dunian na hatimae hata vikwazo vikali itawekewa na umoja wa mataifa..sir zote ziko wazi.ila kinachofanyika mda huu watu hawawez focus kwenye kesi wakat wako kwenye janga..
 
Tangu nijiunge Jf sijawahi kukutana na uzi mrefu kama huu.
Kiingereza kilichotumika ni rahisi tu ila ili uupate ujumbe wote inabidi misa uighairishe.
Atakayeumaliza kuusoma anifupishie
 
which are taken from online activity, electronic shopping behaviour and reports from informers in civil society — we selected some of the worst offenders. These included human rights lawyers and activists, Christians, homosexuals, artists, intellectuals, people who speak foreign languages, and other undesirables.

Jr[emoji769]
Ni Hatar mkuu....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma huu uzi mwanzo mwisho

Hakika kuna mambo ya siri sana ambayo ni muhimu.
Dunia tunaelekea mwisho ..

Watz wavivu kusoma sasa nadhan wengi tu hawajasoma hii thread wanaishia kusoma ccm na cdm vitu vya msingi wanaviacha...

Wachina watu wa ajabu ndio wametuletea corona...hamna cha kuficha na hili lazima wabebe mzigo ,tayar marekan inalijua hili nadhan wanachosubiri kwanza dawa ipatikane chanjo harafu mengine waanze kuishtak china.

Nadhan mwendelezo wa hili jambo unaweza athiri china dunian na hatimae hata vikwazo vikali itawekewa na umoja wa mataifa..sir zote ziko wazi.ila kinachofanyika mda huu watu hawawez focus kwenye kesi wakat wako kwenye janga..
Kweli kaka Hali ni mbaya sana

Tujiandae kwa lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu nijiunge Jf sijawahi kukutana na uzi mrefu kama huu.
Kiingereza kilichotumika ni rahisi tu ila ili uupate ujumbe wote inabidi misa uighairishe.
Atakayeumaliza kuusoma anifupishie
[emoji23][emoji23][emoji23] huu usome Kwa faida yako duniani kuna mambo sio rahisi kama tunavyo dhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom