Ukweli juu ya corona (End of the world)

Ukweli juu ya corona (End of the world)

Ok mi nimesoma yote, point ya muhimu hapa Ni kuwa chanzo Cha ugonjwa Ni kutokana na maafisa wa CIA kunyang'anyana kirusi na maafisa wa China kwa kutupiana risasi na dokta msaliti wa China akakidondosha na kuanza kusambaa.

Point ya pili Ni kuwa hakuna kupona.

Ya tatu Ni kuwa China wamekufa millions na Raisi wao pamoja na maofisa wengine wamejificha na hao tunaowaona kwenye media sio wenyewe.

Ya nne Ni kwamba kizuizi pekee Cha virusi hivi Ni Mask maalum ambayo kamwe mtu wa kawaida Kama Mimi na wewe hatuwezi kuipata.

Ya tano ni kuwa zile hospital zilizojengwa China kwa siku 6 hazikuwa kwa ajili ya kutibu wagonjwa Bali Ni Kama mochwari ambako wagonjwa wakipelekwa hupokea kichapo heavy kutoka kwa wanajeshi wa china.

Ya sita na ya mwisho Ni kuwa maandalizi pekee unayoweza kuyafanya Ni kukaa karibu na uwapendao na kupeana maneno ya faraja ya mwisho maana hakuna kupona..

Haya jamani kazi kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna jambo kama hilo.. Mnalishwa upuuzi unaubeba jinsi ulivyo bila kutafakari uhalisia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukielewa kifo cha Dr Li tu utapata wide picture ya huu uzi,
 
Nimesoma huu uzi mwanzo mwisho

Hakika kuna mambo ya siri sana ambayo ni muhimu.
Dunia tunaelekea mwisho ..

Watz wavivu kusoma sasa nadhan wengi tu hawajasoma hii thread wanaishia kusoma ccm na cdm vitu vya msingi wanaviacha...

Wachina watu wa ajabu ndio wametuletea corona...hamna cha kuficha na hili lazima wabebe mzigo ,tayar marekan inalijua hili nadhan wanachosubiri kwanza dawa ipatikane chanjo harafu mengine waanze kuishtak china.

Nadhan mwendelezo wa hili jambo unaweza athiri china dunian na hatimae hata vikwazo vikali itawekewa na umoja wa mataifa..sir zote ziko wazi.ila kinachofanyika mda huu watu hawawez focus kwenye kesi wakat wako kwenye janga..
Hadithi hii ya kutunga
Hata Mimi niliwahi I post humu..

Ni moja Kati ya horror fictional story za Reddit ambazo Readers huwa Wana pretend as if ni fact...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom