Ok mi nimesoma yote, point ya muhimu hapa Ni kuwa chanzo Cha ugonjwa Ni kutokana na maafisa wa CIA kunyang'anyana kirusi na maafisa wa China kwa kutupiana risasi na dokta msaliti wa China akakidondosha na kuanza kusambaa.
Point ya pili Ni kuwa hakuna kupona.
Ya tatu Ni kuwa China wamekufa millions na Raisi wao pamoja na maofisa wengine wamejificha na hao tunaowaona kwenye media sio wenyewe.
Ya nne Ni kwamba kizuizi pekee Cha virusi hivi Ni Mask maalum ambayo kamwe mtu wa kawaida Kama Mimi na wewe hatuwezi kuipata.
Ya tano ni kuwa zile hospital zilizojengwa China kwa siku 6 hazikuwa kwa ajili ya kutibu wagonjwa Bali Ni Kama mochwari ambako wagonjwa wakipelekwa hupokea kichapo heavy kutoka kwa wanajeshi wa china.
Ya sita na ya mwisho Ni kuwa maandalizi pekee unayoweza kuyafanya Ni kukaa karibu na uwapendao na kupeana maneno ya faraja ya mwisho maana hakuna kupona..
Haya jamani kazi kwenu
Sent using
Jamii Forums mobile app