habari ndo hiyo mimi nakuambia sio wa shoo MWANAMKE TABIA..shepu zinauzwa kkoo kw bei ya maandazi wabint wa mujini kila secta tunajua kama udalali wa viwanja ntakueleza wapi vipo vya bei chini na vizuri...ukija kwenye magari ntakushauri ununue lipi kwa bei nzuri na show room gani yapo mazuri na unaangalia ingine je imeshushwa or???km ngapi gari imetembea..inatumia cc ngapi ya mafuta na foleni za bongo .uchi wa gari tunaangalia kama imetiwa chuma,....no gani A,B C kama ni C ni orijino or ishatembea zanzibar...kwenye dini nipo...mishe mishe za hapa na pale z town madili ya leo na kesho najua ...UUUUPSI JE utanioa kwa kuwa cijui club????na sina shepu??
think twice angalia tabia watu na shepu zao waache kuna wanaowapenda na wana tabia nzuri.