Ukweli ambao Serikali haitaki kuwaambia watu wa Rufiji; Bwawa la JNHPP limezidiwa na maji, lazima yamwagwe ili kuliokoa lisivunje kingo

Are there no experts in JF who can give their professional contributions? Because I see that there is no one to explain professionally, everyone is wandering in their own way, that is, the topic is being discussed more politically.

There must be people with good information about the really cause of the problem. I am sure, something has gone terribly wrong.
This may come as a result of overlooking, or under designing some critical parts of the intended lake.
 
Kiukweli mkuu , lazima kulikuwa uwekano mkubwa Sana wa kucontrol hayo maji na ndo lengo la mabwawa
Nchi zingine zinacontrol Hadi bahari kupwa na kujaa kwake wanaihamisha au wanazalisha umeme

Bahati mbaya pengine tech na akili ya kutengeneza mradi ilikuwa ndogo
Au pengine tulibargain Bei ndogo kwenye mradi wakatengeneza low quality

Inauma Sana kuona tuaachia mamillion ya lita za maji kuleta maafa
Badala ya kuyatumia kuzalisha

Inaonyesha kiwango kikubwa cha ujinga mkubwa Sana kujenga mradi wa matriolion kushindwa kutatua matatizo yalihoko kwenye mkondo WA maji

Hiyo Kasi na nguvu ya maporomoko ya maji yangetosha kupump maji yenyewe na kujisambaza kwenye mashamba makubwa Sana
Ya irrigation pengine hata mkoa jirani na mengine yahofadhiwe kwa misimu mengine haswa ya ukame

Hayo maji yangeweza kujipump yenyewe kujisambaza na kujaza maelfu ya mabwawa ya samaki WA maji baridi Kama sato Hadi mikoa jirani na kuzalisha matani ya samaki

Sijui tunafeli wapi kwakeli
So sad
Unachekesha wewe unajua nguvu na majanga ya maji?
 
Mpaka hapo Hilo bwawa limegeuka kuwa catastrophe Kwa Wananchi.

Unaambiwa ikitokea bahati mbaya likavunja Kingo zake,Rufiji nzima itakumbwa na Mafuriko.

View: https://twitter.com/lifeofmshaba/status/1776936147123421551?t=S5_Jyf2K6-Auglkys3JEmg&s=19

My Take
Huko Rufiji hakuna Usalama wa Maisha maana hili bwawa limekuwa kitisho Cha maisha.

Serikali hamisheni watu wote wa Wilaya hiyo maana mliyataka wenyewe Kwa kudhani walionusa hatari hii walishindwa kulijenga.

View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1776935137537618395?t=UUMmQT5sCAWZ0h0wJb7YvQ&s=19

Hizi Kauli zinakujaga kuwaponza kina Bashe👇👇

View: https://twitter.com/HusseinBashe/status/1776956538084544897?t=pjaE5vkiKdbtQ4ZoOXd6lA&s=19

Hawa walihamishwa,Kwa nini waliachiwa wakarudi?

View: https://twitter.com/HistoriaYetu/status/1778356149261132242?t=fMjCOoBZI_LHaTrPy3eNHA&s=19
 
Mpaka hapo Hilo bwawa limegeuka kuwa catastrophe Kwa Wananchi.

Unaambiwa ikitokea bahati mbaya likavunja Kingo zake,Rufiji nzima itakumbwa na Mafuriko.

View: https://twitter.com/lifeofmshaba/status/1776936147123421551?t=S5_Jyf2K6-Auglkys3JEmg&s=19

My Take
Huko Rufiji hakuna Usalama wa Maisha maana hili bwawa limekuwa kitisho Cha maisha.

Serikali hamisheni watu wote wa Wilaya hiyo maana mliyataka wenyewe Kwa kudhani walionusa hatari hii walishindwa kulijenga.

View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1776935137537618395?t=UUMmQT5sCAWZ0h0wJb7YvQ&s=19

Hizi Kauli zinakujaga kuwaponza kina Bashe👇👇

View: https://twitter.com/HusseinBashe/status/1776956538084544897?t=pjaE5vkiKdbtQ4ZoOXd6lA&s=19

Huyu Bashe amehamia Rufiji baada ya kuwatosa vijana kule Chinyang'ali Dodoma
 
Back
Top Bottom