Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,102
- 122,485
Hahaaaa. Nimepata kitu hapa mkuu ila kuna sehemu na sehemu ya kutumia uongo japokuwa kwa huyu dada ndio ilikuwa sehemu sahihi tena sio uongo bali kumezea raha alizopatiwa na hilo dumeKwa kweli tunafanya sana, na hata takwimu zinaonyesha kuwa wanaume ndio tunaongoza katika kufanya hayo, ila jambo la msingi ni kuhakikisha mpenzi wako/mke wako hapati fursa hata ya kukuhisi na hiyo inamjengea heshima na kujiamini, ukiweka ukweli kwenye mapenzi kwa 100% ujue hapo ndio unayabomoa,
Hivyo uongo unadumisha mapenzi zaidi kuliko ukweli, ndio hayo yaliyomkuta Bi mdada
ili kuyalinda mahusiano yake.Sababu angejinyamazia ingebaki kuwa siri yake na maisha yangeendelea tu.