Njia ya kwenda kwao iko wazi aiseeHahahaaa. Ila wanaume mna kazi sana aisee.
Ungekuwa wewe Mkuu ungemfanyaje huyo mdada anayekwambia kirahisi rahisi hivyo huku raha alishaipata?![]()
Demu alikuwa anatest kama limbwata limekolea vizuriSababu kiuhalisia swala kama hilo sio la kusema uanze kujifikiria kutoa maamuzi yaani maamuzi yake yanakujaga papo hapo.
Ila kama ni kweli huwa kuna wanawake vichwa maji aiseee yaani anajifumanisha mwenyewe. Hahahaaa.
Umeona mkuu na sidhani kama ungemchelewesha kuja eti kuja kuanzisha uzi zaidi ya kufanya maamuzi papo kwa hapo.Njia ya kwenda kwao iko wazi aisee
Haaaaaaaa hivi limbwata bado lipoDemu alikuwa anatest kama limbwata limekolea vizuri
Haswaa, kwa mwanaume anayejitambua anafanya maamuzi magumu mwenyewe, then baadae ndio anatoa mrejesho period,Umeona mkuu na sidhani kama ungemchelewesha kuja eti kuja kuanzisha uzi zaidi ya kufanya maamuzi papo kwa hapo.
Huku labda ungekuja kusema Mke wangu alifanya hivi na mie nikachukua maamuzi haya ila ni muda umepita sasa najikuta nammiss nifanyeje wakuu?![]()
![]()
Hapo ndio tungeelewa.
Hahahaa. Ufungukaji huo wataka moyo sana.Demu alikuwa anatest kama limbwata limekolea vizuri
Na mimi ningemlaghai tu.Hahahaaa. Ila wanaume mna kazi sana aisee.
Ungekuwa wewe Mkuu ungemfanyaje huyo mdada anayekwambia kirahisi rahisi hivyo huku raha alishaipata?![]()
Lipo sana mkuu, hasa kipindi hiki ambacho grisi imepanda beiHaaaaaaaa hivi limbwata bado lipo
Aibu sana yaani. Halafu eti unasema kila siku ananiomba msamaha. Lol.Haswaa, kwa mwanaume anayejitambua anafanya maamuzi magumu mwenyewe, then baadae ndio anatoa mrejesho period,
Sio unakuja kulialia humu eti umegongewa, aibu
Noma sana mkuu, bora shule zifunguliwe tupumue kidogoHahahaa. Ufungukaji huo wataka moyo sana.
Huyu dogo atakuwa ni form two DAibu sana yaani. Halafu eti unasema kila siku ananiomba msamaha. Lol.
Hizi ni dalili kwamba bado hajajitambua sababu haya uchungu wa kugongewa hajui unakaaga wapi. Hahahaaaa.
Na mimi ningemlaghai tu.
Inakuwa ngoma droo, ila kinachofuata baada ya hapo ni kumgeuza chombo cha Starehe kwangu tu , Sina malengo nae tena.
Haswaaaaa. Angalau watakuwa busy na shule mapenzi watayapa kisogo kwa muda. Hahahaaa.Noma sana mkuu, bora shule zifunguliwe tupumue kidogo
Hahahaaa. Au form two F. Lol.Huyu dogo atakuwa ni form two D
Kweli kabisa mkuu, asubuhi yote hii anaamka na Uzi wa ki.....nge hivi kweli?Haswaaaaa. Angalau watakuwa busy na shule mapenzi watayapa kisogo kwa muda. Hahahaaa.