Mkiu Kwetu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 261
- 279
Mkuu umenichekesha hatariHahahaaa. Au form two F. Lol.
Mkuu umenichekesha hatariHahahaaa. Au form two F. Lol.
Yes, ndio nitamwambia nimekusamee mpenzi ainashida kukosea ameumbiwa mwanadamu.Hahahaa. Kumlaghai ukimaanisha kwamba utamwambia haina shida tuendelee mama ama vipi mkuu?
Hahaaaa. We ndio hutaki mchezo aiseee. Ila utakuwa umempa maumivu makubwa sana ni bora kama kumuacha umuache mapema tu ajue kuliko kumfanya chombo cha starehe.
Cheka tu Kaka angu ndio kilichobakia hasa tukiwa na hawa wadogo zetu. Hahahaaa.Mkuu umenichekesha hatari
Hua nawazaga mengi sana kamfanaje kama mm na jee hajapiga mtandao pendwa na yukoje kibamiaa au mtwangio hapo ndipo msamaha hua mgumuHahahaaa. Ila wanaume mna kazi sana aisee.
Ungekuwa wewe Mkuu ungemfanyaje huyo mdada anayekwambia kirahisi rahisi hivyo huku raha alishaipata?![]()
Yes, ndio nitamwambia nimekusamee mpenzi ainashida kukosea ameumbiwa mwanadamu.
Wakati tunayatafakari hayo kumbuka tupo getto muda uwo.
Sasa hotea kitakachofuata baada ya tukio la kumwambia nimekusame.
Hahahaa. Sio kwa kuwaza mbali kiasi hicho mtani.Hua nawazaga mengi sana kamfanaje kama mm na jee hajapiga mtandao pendwa na yukoje kibamiaa au mtwangio hapo ndipo msamaha hua mgumu
Mtani kunawatu adhabu zao mbaya sana kama mimi huwaga sina huruma napo kua kwenye kitengo hichoHahahaa. Sio kwa kuwaza mbali kiasi hicho mtani.
Emmy, mapenzi siku zote yanaitaji taimingi , yule atakae muanza mwenzake kumuacha ndio winner.Hahahaa. Umenifanya niuvae uhusika halafu nikajiwazia atakavyojisikia huyo mdada kwa kuona kweli kapata mpenzi sababu hadi kusamehewa kwa alichokifanya sio jambo dogo hilo.
Ila bora tu ufanye maamuzi ya moja kwa moja ajue anasimamia wapi kuliko kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Mtani kunawatu adhabu zao mbaya sana kama mimi huwaga sina huruma napo kua kwenye kitengo hicho
Tunafanya ila kugongewa ni kitu ingine mtani inauma sanaIla kwani nyie huwa hamfanyi hiyo kitu. Tena nasikia nyie ndio hamjambo upande huu.
Hivi, vyuo havijafunguliwa bado!!We na huyo mpenzi wako wote ni watoto hamjakua bado yaani kwa raha kabisa unakuja kuanzisha uzi kama huu as if alichokifanya kimekusuuza moyo wako.
Fanya kile ambacho moyo wako unataka.
Emmy, mapenzi siku zote yanaitaji taimingi , yule atakae muanza mwenzake kumuacha ndio winner.
Amna asiejua maumivu ya kuachwa katka mapenzi,
Ogopa sana kutendwa.
Kama umeshawai kutendwa hutoona taabu na wewe kumtenda na ndio maana visa vya mapenzi aviishi mpaka nwisho wa Dunia.
Kwa kweli tunafanya sana, na hata takwimu zinaonyesha kuwa wanaume ndio tunaongoza katika kufanya hayo, ila jambo la msingi ni kuhakikisha mpenzi wako/mke wako hapati fursa hata ya kukuhisi na hiyo inamjengea heshima na kujiamini, ukiweka ukweli kwenye mapenzi kwa 100% ujue hapo ndio unayabomoa,Ila kwani nyie huwa hamfanyi hiyo kitu. Tena nasikia nyie ndio hamjambo upande huu.
Hahaaa. Mkuki kwa nguruwe mtaniTunafanya ila kugongewa ni kitu ingine mtani inauma sana
HahahahaHahaaa. Mkuki kwa nguruwe mtani
......Inategemea sana.Hahahaaa. Ila saa nyingine inatakiwa kurudi nyuma na kufikiria Mkuu sio lazima kila baya lilipwe na baya.
Unaweza muacha kiroho safi tu. Ili kama maumivu awe amejitakia mwenyewe.
Umeandika kama yule James Nyamvuto Delicious!Jamaaaan mm nna mpenz wangu nampendaa sanaa na yeye naona ananipendaa lakini juzi nmeonana nae kanambiaa kitu kimeniuma sana kasema mpenzi kiukwel ulivokuwa mbali nlitembea na mwanaume alinilaghai nkampa penzi lakini nmejua udhaifu wangu na nakupendaa ww hata nlivofanya nae nlikuwaa nakuwaza ww naomba unisamehe sirudii tena na tulipangaa mangi kuhusu ananiomba msamaha kila siku et jamaaan nfanyaje nmsamehe au niende mbele????