'Ukware' huu wa Arusha kiboko, khaaaaa!

Hahahaaaaaaaaaa! Hebu naomba nitumie namba ya kamanda aiseeeeeeee! Ulifikiria mbali sana na kwa haraka na nadhani aliisoma huyo.
Hahahaha hahahah,
Ni wazo tu lilinijia nikaamua kumwandikia ivo,
Si matusi pekee au kelele ndio zinaonesha kukasirisha hata hiyo nadhan ilifaa tu,
Hahahah hahah unataka kumripoti nani swaiba!!
 
Hahahaha hahahah,
Ni wazo tu lilinijia nikaamua kumwandikia ivo,
Si matusi pekee au kelele ndio zinaonesha kukasirisha hata hiyo nadhan ilifaa tu,
Hahahah hahah unataka kumripoti nani swaiba!!

Just in case i come through the same experience in the future!
 
Kuna njemba majuzikati ilidai kuwa mwanaume anayo haki ya kuulizia mzigo anytime kutegemea na uthubutu wake..suala la kukubali au kukataa ni la mlengwa. Sasa sijui kaa hii ina-apply hapa.
 
Yaani usiniambie kwamba hujui hata huyo mwanaume aliyekaa naye yukoje naye, we unapeleka namba yako tu! Vipi kama ni mumewe au sio malaya? Si utaishia kupata aibu kama alivyoipata pale?

hiyo ndo inaitwa kujilipua..........
 
inaonekana shemeji yako alikuchukia sana siku hiyo...mwombe radhi bana. Kwani wewe ndiye mlinzi wake siku zote? Umemkosesha deal bila sababu ya msingi. Atakuwa kakusimulia kwa wenzie jinsi ulivyomfanyia ukauzibe.
 
Umenikumbusha tukio moja lilitukuta siku moja,
Hii ilitutokea hapa hapa dar niliwa na marafiki zangu tunaangalia mpira mahala,jamaa akaandika namba na kumpa mhudumu ampe mmoja wetu pale,mhusika alipofungua na kukuta ni no ya simu akatuambia akiwa amechukia na kuhisi jamaa katuchkulia kirahisi rahisi sana kutaka kwenda kumvaa,

Mie nikamtuliza na kuchukua ile karatasi na kuandika namba ya kamanda wa polis kanda maalumu na kumtaka anipigie ,basi nikampa shosti wangu na akampa mhudumu ampelekee,
Tukaendelea na ishu zetu,sijui alipiga au vp na alimweleza nn afande!
Hapa nimezaa mtoto.................
 
Kaka Arusha hatuna muda wa kuremba bana,
Unapewa namba, unabip, tunapiaga kisha tunakutana Kwa Moromboo kwenye nyama choma, baadae mambo yote tunamalizana viwanya vya Makao Mapya.............LOL
 
Lakini kwa nini usiende pale na kuomba mchepuke ndiyo uongee naye, badala ya 'kutuma' namba yako kwenye kikaratasi?

Labda hujanielewa! kwa nini wewe ndo utoe uamuzi wa kuirudisha hyo namba? si ungeacha uone yeye ana react vipi labda angeichukua! ilo moja pili una uhakika hawajuani?please usiniambie kuwa shemeji kasema hamjui!!! kwa kiwango kikubwa mazingira hayo inaonekana jamaa anajua nyinyi si wapenzi! utambue hata wapenzi wanakutanana kwenye mazingira hayo hayo!
 
Kaka Arusha hatuna muda wa kuremba bana,
Unapewa namba, unabip, tunapiaga kisha tunakutana Kwa Moromboo kwenye nyama choma, baadae mambo yote tunamalizana viwanya vya Makao Mapya.............LOL

waambie bwana . Hatuna muda wa kumwimbia bongo fleva. Hatufugi mamba wazee .
 
Wacha weeeeeeee! Aiseeee, kichwa maji kweli wewe na kama una mke basi kala hasara!

Hivi kwanza huyo 'wa-kike' unaesema ulikuwa nae Bar ni 'shemeji' yako kweli ama ulitaka kumaanisha ni 'wifi' yako, mana nikikufuatilia vizuri kwa 'handwriting' yako, we mwenyewe una'sound kama SHE vile, so i get the feeling kama ulikuwa na mwanamke mwenzio, (lets say a wife to your brother) or whatever relation you meant to imply in that case, basi haiwezi kuwa ni 'shemeji' yako, but rather ni 'wifi yako!
 
we nawe akili yako, hovyoooooooooooo! nani kakwambia tulienda mrina bar? hiyo bar naijua sana, yaani ulivyokimbilia kuitaja hiyo bar, huenda ndo kijiwe chako hicho mkuu

Hivi Mrina Bar ina sifa gani mkuu?
 
njombaaaaaaaaaaaaaaaaa...michezo ya kawaidaa sanaa,ujakutaaa apolojazz au mafogo wa A.TOWN wakimtaka shemejii,dada ako au mam d wako ukiwepo,watampata na demu anakuachaa mitiii,watu wanaandikaa number kwenye dolla miaaa,afu demu au shem wako akijitusu kwenda chooni ujueee kushneyyyyyyyyyyyyy babu chiiiiiiiiiiiiii
 
Hebu nipatie na style za Dodoma nataka kuibuka huko hivi karibuni! Vikaratasi nako viko applicable?
 
Una uhakika gani kama huyo shemeji yako hawafahamiani na huyo jamaa aliyetoa namba?
 
Kama ni ukware, basi Arusha kiboko! Kweli kutongoza kwa wengine ni kazi kubwa. Kuna siku nilikuwa kwa bar na shemeji yangu wa kike, bila aibu njemba moja baada ya kuvutiwa na shemeji yangu, ikaamua kuandika namba yake ya simu na kumpa Bar maid eti ampe huyo shemeji yangu. Nilipogundua nikamwambia shemeji anipe hichi kikaratasi then nikamuita bar maid na kumwambia amrudishie mhusika. Jamaa alipopewa namba yake aliona aibu then akaondoka. Wakati anatoka nje, nikampa lama ya dole gumba akatokomea zake na watu wengine wakabaki wanacheka. Mjadala ukawa mkubwa ila baadae nikagundua-kutokana na maongezi yalivyoendelea-kuwa kumbe ni 'practice' ya kawaida sana miongoni mwa wanaume wengi wa jiji la Arusha kutumia njia hiyo kuwapata wanawake na kufanya nao mapenzi.

Mwenyewe aliamini huenda angepigiwa simu then wangeenda kula raha. Hivi inakuwaje mtu unazidiwa na ukware inafika mahali hata unashindwa kujiuliza status ya wahusika waliokaa bar wana uhusiano gani na kuamua kufanya ujinga kama huu. Hivi mtu kama huyu upeo wake na upstairs kuko sawia kweli.

Jamani wanaume mi siamini kama mji wa wajanja kama arusha kumbe vidume vyake ni 'midomo gundi' kiasi kile! Jamani wanawake sio rahisi kiasi hiki, labda awe ni mtu ambaye unamjua kuwa kazi yake ni umalaya. Kwa ambaye humjui, ni vyema 'ukamuimbisha', ujue moja kama umekubaliwa au umetoswa, sio kuingia kwa gia ya kutoa simu. Wengine ni wapelelezi utaishia kufanywa vibaya mtoto wa kiume!
mkuu hii tabia kwa watu wa arusha ni common sana-na wengi wanafanikiwa-huyo shemeji yako anabahati sana
 
waambie bwana . Hatuna muda wa kumwimbia bongo fleva. Hatufugi mamba wazee .
Huku hatuna muda wa kubana pua............
Huku Dar, wapo ambao huazima hata magari ili kuwakoga mademu.......... Arusha haturembagi aisee.........Ah.... Wai.......unampigisha lapa demu kutoka Kijenge mpaka Makalio Bar, hapo mnapata Mtura na Bieeer na kisha mnachapa mwendo mpaka maeneo ya Unga Limited pale Heaven Bar, mkitoka hapo mnatafuta eneo la kujidai kabla ya kumpigisha ligwaride kurudi home Kijenge na kama kachoka mnachukua TOYO kwa mkao wa MSHIKAKI mpaka ma-home.................LOL
 
Yaani na kuniumbua kivile ile cku bado unaniandama hadi huku jf chali angu? Yaishe bac arifu....lol!
 
Back
Top Bottom