'Ukware' huu wa Arusha kiboko, khaaaaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Ukware' huu wa Arusha kiboko, khaaaaa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndyoko, Mar 7, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Kama ni ukware, basi Arusha kiboko! Kweli kutongoza kwa wengine ni kazi kubwa. Kuna siku nilikuwa kwa bar na shemeji yangu wa kike, bila aibu njemba moja baada ya kuvutiwa na shemeji yangu, ikaamua kuandika namba yake ya simu na kumpa Bar maid eti ampe huyo shemeji yangu. Nilipogundua nikamwambia shemeji anipe hichi kikaratasi then nikamuita bar maid na kumwambia amrudishie mhusika. Jamaa alipopewa namba yake aliona aibu then akaondoka. Wakati anatoka nje, nikampa lama ya dole gumba akatokomea zake na watu wengine wakabaki wanacheka. Mjadala ukawa mkubwa ila baadae nikagundua-kutokana na maongezi yalivyoendelea-kuwa kumbe ni 'practice' ya kawaida sana miongoni mwa wanaume wengi wa jiji la Arusha kutumia njia hiyo kuwapata wanawake na kufanya nao mapenzi.

  Mwenyewe aliamini huenda angepigiwa simu then wangeenda kula raha. Hivi inakuwaje mtu unazidiwa na ukware inafika mahali hata unashindwa kujiuliza status ya wahusika waliokaa bar wana uhusiano gani na kuamua kufanya ujinga kama huu. Hivi mtu kama huyu upeo wake na upstairs kuko sawia kweli.

  Jamani wanaume mi siamini kama mji wa wajanja kama arusha kumbe vidume vyake ni 'midomo gundi' kiasi kile! Jamani wanawake sio rahisi kiasi hiki, labda awe ni mtu ambaye unamjua kuwa kazi yake ni umalaya. Kwa ambaye humjui, ni vyema 'ukamuimbisha', ujue moja kama umekubaliwa au umetoswa, sio kuingia kwa gia ya kutoa simu. Wengine ni wapelelezi utaishia kufanywa vibaya mtoto wa kiume!
   
 2. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Hakunaga mapenzi yale ya kupendana ni zama za kale... Saiv mapenz yashakua poapoa tu.
   
 3. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hiyo style sio Arusha tu! Dar tunaitumia vilevile! mm nshalamba wengi tu kwa style iyo! kwani tatizo liko wapi connection inaweza kuwa popote! by they way ungemuacha shemejio aamue cha kufanya kuliko kuchukua jukumu ilo wewe! unajuwaje? labda angempigia mambo yakaenda swafi! wewe ndo wa kukushangaa!!
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  ila hii ya vidume vya arusha kiboko aiseeeee!
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Yaani usiniambie kwamba hujui hata huyo mwanaume aliyekaa naye yukoje naye, we unapeleka namba yako tu! Vipi kama ni mumewe au sio malaya? Si utaishia kupata aibu kama alivyoipata pale?
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Lakini kwa nini usiende pale na kuomba mchepuke ndiyo uongee naye, badala ya 'kutuma' namba yako kwenye kikaratasi?
   
 7. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  duh domokaya nayo inaweza ikazua balaa ukajikuta unaaibika zaid ya kikaratasi
   
 8. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  PJ wapi wewe??? Shutuma kali hizi
   
 9. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ...Arusha kuna 'cha Arusha' vijana wengi pale mambo yao manne tu: 1. Tafuta hela. 2. Nunua gari/pikipiki kubwa. 3. Piga pombe/bangi. 4. Fukuzia ngono. Zikiisha mzunguko unaanza upya.
   
 10. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,541
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  nani amekwambia ? Wanaume wa arusha hawana tabia za kijinga kama huko kwenu pwani .
   
 11. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwanza nahisi huyu dada alikuwa mke wako! Ndio maana ukaingilia kati,la sivyo na wewe huyo shemeji yako unamtaka au tiyari umeishamega.Km hali siyo hiyo usingeweza kufatilitilia palepale na kujua kaandikiwa nini! Kwa taarifa huo ulikuwa ni ujumbe kuwa tukutane wapi na saa ngapi. Si km ulivyofikilia kuwa ilikuwa namba ya simu. Take care!
   
 12. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nilishawahi tumiwa namba na manzi kwa style hiyo, lakini sikupiga simu.
  Nili muibukia hapo hapo tukamalizana.
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Wacha weeeeeeee! Aiseeee, kichwa maji kweli wewe na kama una mke basi kala hasara!
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Mlikuwa mnafahamiana kabla au? hebu fafanua mkuu
   
 15. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Umenikumbusha tukio moja lilitukuta siku moja,
  Hii ilitutokea hapa hapa dar niliwa na marafiki zangu tunaangalia mpira mahala,jamaa akaandika namba na kumpa mhudumu ampe mmoja wetu pale,mhusika alipofungua na kukuta ni no ya simu akatuambia akiwa amechukia na kuhisi jamaa katuchkulia kirahisi rahisi sana kutaka kwenda kumvaa,

  Mie nikamtuliza na kuchukua ile karatasi na kuandika namba ya kamanda wa polis kanda maalumu na kumtaka anipigie ,basi nikampa shosti wangu na akampa mhudumu ampelekee,
  Tukaendelea na ishu zetu,sijui alipiga au vp na alimweleza nn afande!
   
 16. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yaani usingekuwepo angeipokea hako kamsg na mzigo jombaa angepiga shukuru mungu ulikuwepo siku hiyo.Watu wanajuana wewe shauri lako.Man kaisha pewa ramani shemeji yako alivyo ndo maana alifanya hivyo
   
 17. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Hahahaaaaaaaaaa! Hebu naomba nitumie namba ya kamanda aiseeeeeeee! Ulifikiria mbali sana na kwa haraka na nadhani aliisoma huyo.
   
 18. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wewe kwa ugeni wako wa mji unamchukua shemeji yako mnaenda kukaa mrina bar?
  pale walikuonea huruma wangemtuma akuletee wewe,pale watu wanapitia mizigo na kulala mbele.

  siku nyingine usirudie kuenda pale.
   
 19. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  tatizo unachukulia kuwa huenda wanajuana. Si umeona hiyo thread ya canta hapo juu, hakuna cha kujuana ni ukware tu mkuu, mtu anadhani kila mwanamke ni malaya wa kubebwa kirahisi rahisi na mwanaume wahivyo tabia yake ni zoazoa ndo maana haoni aibu na muda wote anadhani kila mwanamke ni wa kujizolea tu. Hivi hiyo courage kwanza unaipata wapi ghafla kiasi hicho kama sio nguvu ya ukware?
   
 20. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  we nawe akili yako, hovyoooooooooooo! nani kakwambia tulienda mrina bar? hiyo bar naijua sana, yaani ulivyokimbilia kuitaja hiyo bar, huenda ndo kijiwe chako hicho mkuu
   
Loading...