Ukutane na Avatar hii ya FIDEL njiani

Eh, eh, eh, eh, Aluu kuna avatars nyingine ukiziona kwanza utacheka na kufurahi.
Jamani. naomba mnisaidie namna ya kuweka avatar kwenye ID yangu. Nimejaribu kutafuta nimezipata, kwa kweli ni nzuri na nyingine zinafurahisha. Tatizo nashindwa kuziweka.
Naomba msaada.
 
...
Jamani. naomba mnisaidie namna ya kuweka avatar kwenye ID yangu. Nimejaribu kutafuta nimezipata, kwa kweli ni nzuri na nyingine zinafurahisha. Tatizo nashindwa kuziweka.
Mbona unayo avatar?
 
Wakati ule napost huu ujumbe ilikuwa haipo. Baada ya kuhangaika ndipo nikafanikiwa kuipata.
Thanks!
 
hii avator hapana bana!
sku ya kwanza niliiangalia kwa 5 mins,nikajiuliza so many questions
 
Back
Top Bottom