Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Pale nguvu ya umma inapotamalaki, hakuna cha crowd control expertise wala cha mama mkanye mwanao! Btw, nimesema watu 50K au hesabu zangu zinataja 20% ya 50K?!Hii study yako imezingatia eneo? Ukubwa wa eneo la watu 50K kisha wajikusanye wote kwa lengo moja muda mmoja? Napata shaka...ila kuna kitu wataalam wa crowd control huwa wana apply kile unalivunja kundi kupunguza nguvu sijui watakikumbuka maana hapo ndio marungu ya "mama mkanye mwanao" huwa yanakuwa kazini kunapigo linaitwa kinetic energy strike na 45 degree usiombe likatua maungoni.
Kwa nini kuandikia mate?Pale nguvu ya umma inapotamalaki, hakuna cha crowd control expertise wala cha mama mkanye mwanao! Btw, nimesema watu 50K au hesabu zangu zinataja 20% ya 50K?!
Kauli yako ni kama ya kukamia matumzi ya polisi! Ningekuwa CCM au serikalini, katu hilo kwangu lisingekuwa la kuonea fahari!!Kwa nini kuandikia mate?
Tarehe 1 Sept si inakuja, ni weye na mguu wako!
Ni kweli KABISA MKUU,MAGAMBA YAMEkuWA TANGAZA UKUTA NCHI NZIMA..UKUTA umekosa vipi watu wa kuandamana wakati tunashuhudia polisi wakiandamana nchi nzima kuutangaza UKUTA??
Msitake kutuhadaa. Sio wote tunadanganyika kirahisi.... CDM wanachopigania ni democrasia halisi.