Nimepita hapo saa moja na nusu usiku, yaani dakika chache zilizopita. Askari wa Jiji na polisi jumla hawapungui 100. Magari matano yamepark upande wa baharini yameeasha taa kumulika upande wa pili wa barabara kuliko na ukuta ambao unavunjwa na tingatinga.
Eneo hili liko baada ya hospitali ya agha khan karibu na uwanja wa golf. Kulikuwepo amani na utulivu, askari wamejipanga imara na tingatinga likiendelea kubomoa huo ukuta tartiiibu, kwa uhakika. Askari wawili walikuwa bize wakiharakisha magari kupita kasi, hivyo sikuweza kupiga picha
anayewapa huwa anahongwa kutokana na njaa kazini! si unajua jeuri ya fedha ila kukomesha tabia inabidi kuvunja kumkomoa aliyeenda kuhonga ili wajue fedha si zaidi ya sheria na anayebomolewa aende kumshtaki aliyemuuziaKumbukeni ya masaki! Aliyevunjiwa mahakama iliamuru alipwe fidia! Halafu tunakosea kusema kuwa wanavamia, tujiulize nani anawapa? kwani kabla ya huyu mama hivi viwanja vilikuwa hewani? je sehemu hizi viongozi wakubwa kuliko yeye huwa hawapiti? Je baada ya hapa kitafuatia nini? Bado tunachangishwa kuilipa dowans au mshasahau?
hili ni swali zuri-jibu lake ni HAPANA-tatzo la hiii nchi baadhi ya wanasiasa wanawakumbatia sana hawa wa2 wenye asili ya asia,kiasi kwamba wankuwa na power sana,na kujikuta wanfanya mambo yao kwa nguvu ya hela,na kuifanya hii nchi wapendavo wao-safi sana mama!hivi kwanini hawa watanzania wenye asili ya asia ndiyo wengi wamevamia maeneo ya wazi kwa nini?hawakuona master plan kabla ya manunuzi?jee sisi wamatumbi tunaweza kwenda india,uarabuni tukapata maeneo ya wazi kama wao watufanyavyo?
Anayevamia si yule anayejenga tu ni pamoja na aliyempatia hicho kibali wote wavamizi, anayejenga inawezekana kapisha rupia ili apate kibali cha kujifichia tu lakini wote wahalifu, kama yule wa Palm Beach eti ana kibali halali, sheria ikifuatwa haianzii kwenye kibali (hard copy) inaanzia kilipotoka.Kumbukeni ya masaki! Aliyevunjiwa mahakama iliamuru alipwe fidia! Halafu tunakosea kusema kuwa wanavamia, tujiulize nani anawapa? kwani kabla ya huyu mama hivi viwanja vilikuwa hewani? je sehemu hizi viongozi wakubwa kuliko yeye huwa hawapiti? Je baada ya hapa kitafuatia nini? Bado tunachangishwa kuilipa dowans au mshasahau?
safi sana mama!hivi kwanini hawa watanzania wenye asili ya asia ndiyo wengi wamevamia maeneo ya wazi kwa nini?hawakuona master plan kabla ya manunuzi?jee sisi wamatumbi tunaweza kwenda india,uarabuni tukapata maeneo ya wazi kama wao watufanyavyo?
anayewapa huwa anahongwa kutokana na njaa kazini! si unajua jeuri ya fedha ila kukomesha tabia inabidi kuvunja kumkomoa aliyeenda kuhonga ili wajue fedha si zaidi ya sheria na anayebomolewa aende kumshtaki aliyemuuzia