Ukuta Open space iliyovamiwa Ocean Road Wavunjwa

12_10_mghpa6.jpg
Tingatinga la Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam likibomoa ukuta uliojengwa jirani na Hospitali ya Aga Khan ambao umejengwa kinyume cha taratibu. (Picha na Robert Okanda).

Hapa mama anastahili kuchukua TANO ZANGU!!
 
Cha ajabu sijasikia huyu mama akizungumzia watoaji wa vibali! Yasije kuwa kama ya Dowans, tukaja ambiwa fidia ni suala la kisheria, halikwepeki!!!! Uuuuuuuwiiiiiiiiiiiiii!
 
Sasa huyu mama asibomoe tu haya maukuta na majengo, awachukulie na hatua waliotowa na kubadilisha matumizi ya hivyo viwanja na waliopewa. Kwani wote hao wanahusika, mtoaji na mpokeaji rushwa, wote ni mafisadi na wasisamehewe.
 
Big up mama Tiba, keep it up! a good number of Tanzanians are praying for you, that May God Almighty empower you and give you the spirit of fearlessness! This country needs people like you to take it where we want to go!
 
Vipi huyu mama hawezi kushughulikia ile repoti ya lukuvi? au ile ilikuwa special task for special..?
 
Hapa si ndio Sabodo alikuwa ajenge Hospital ya Hindu Mandal??? Mmmmh!!! Kama namuona baba wa watu akiibuka na page nzima kwenye kila magazeti kuanzia kesho...
 
Kumbukeni ya masaki! Aliyevunjiwa mahakama iliamuru alipwe fidia! Halafu tunakosea kusema kuwa wanavamia, tujiulize nani anawapa? kwani kabla ya huyu mama hivi viwanja vilikuwa hewani? je sehemu hizi viongozi wakubwa kuliko yeye huwa hawapiti? Je baada ya hapa kitafuatia nini? Bado tunachangishwa kuilipa dowans au mshasahau?


hilo nalo neno lakini nafikiri ardhi yote ni mali ya umma so inaweza ikataifishwa kwa manufaa ya uma kama sikosei
 
Ukuta kuvunjwa sawa... Lakini kwa nini usiku????...
Mambo ya ulaya hayo wewe!!sehemu zinazotumiwa na jumuia kazi za kutengeneza hufanyika usiku!je kama wangefanya mchana foleni lake lingekuwaje??,pili nikaribu na hsptl!
 
Huyu mama pia anapashwa kuwa makini tusije sikia kuwa serikaki inatakiwa kumlipa fidia baaadae.tutakula na yeye maana uamuzi wa kukurupuka una madhala yake!Kazi njema mama.

Hata kama tutalipa mie nitaridhika zaidi ili mradi warudishe vile walivyojichukulia kinyume na sheria-mafisadi yana jeuri sana na pesa zao, potelea mbali tuyaonyeshe tu kwamba hayatutishi!
 
Hivi serikali ni lazima imlipe fisadi? Haiwezi tu ikafanya jeuri? Ukiona serikali inalipa jambo Kama hilo ujue mgao kwa wanaoidhinisha.
 
ubaguzi huo...!

Siyo siri ukienda Uarabuni na nywele zako za kipilipili unaitwa MTWANA mtu wa hali ya chini na dalaja la mwisho kabisa. India utakuwa kwenye kundi la
UNTOUCHABLE Lowest class. Mtu kama wewe si rahisi kupata hata kiwanja kilicho halali sembuse kuhonga upewe Open space??

Tangu lini mbwa anakula sahani moja na bwana wake??

Ubaguzi upo na unalelewa na kutetewa kwa misingi ile ile ya kale.

Rangi nyeusi siku zote iko kwenye daraja la wayo.
 
Licha ya mmiliki wa kiwanja cha jirani na Hoteli ya Palm Beach, Taher Muccadam kutoa notisi ya siku saba kwa Waziri Profesa Tibaijuka amuombe radhi na kumlipa fidia ya Sh bilioni mbili kwa madai kwamba alimvunjia heshima kwa jamii vinginevyo atamfikisha mahakamani, agizo hilo limepuuzwa na badala yake kapelekewa tingatinga na ukuta umebomolewa. Mama huyu kiboko.
 
Great!!! lakini serikali ya Tanzania ilivyo mchezo wa kuigiza wasije wakamlipa jamaa fidia ya kuweza kujenga ukuta kama huo mara 100!!!!!.....I dont think we have heard the end of this story
 
Great!!! lakini serikali ya Tanzania ilivyo mchezo wa kuigiza wasije wakamlipa jamaa fidia ya kuweza kujenga ukuta kama huo mara 100!!!!!.....I dont think we have heard the end of this story
Tuwape moyo viongozi wasioogopa. Wenye machungu na nji hii
 
Tuwape moyo viongozi wasioogopa. Wenye machungu na nji hii

Tibaijuka kafanya vema, safi kabisa lakini huyu bwana kwa kutumia loop holes za sheria.... na kuhonga hapa na pale anaweza akadai fidia na kulipwa pesa nyingi sana... lakini I repeat well done Tibaijuka
 
Tibaijuka kafanya vema, safi kabisa lakini huyu bwana kwa kutumia loop holes za sheria.... na kuhonga hapa na pale anaweza akadai fidia na kulipwa pesa nyingi sana... lakini I repeat well done Tibaijuka

Huu ndio wasiwasi wangu nachelea kushangilia kwani tunaweza kuishia kumlipa mabilioini jamaa cha msingi aulizwe aliyemuuzia huyu muhindi alitumia kigezo gani?
 
Great!!! lakini serikali ya Tanzania ilivyo mchezo wa kuigiza wasije wakamlipa jamaa fidia ya kuweza kujenga ukuta kama huo mara 100!!!!!.....I dont think we have heard the end of this story
lets wait and see............mam bo mengine aya hata kuyaamini inakuwa ngumu
 
Back
Top Bottom