Ukuta Open space iliyovamiwa Ocean Road Wavunjwa

Naomba niwatahadhalishe kuwa ushabiki huu hauna mantiki ni kwamba Mama Tibaijuka anacheza ngoma asoijua.Hawa wa pwani kina JK usanii walishazoea sana.Mtegemee siku moja huyu mama atapokea maelekezo ya JK kuwa waache tu hawa ndiyo walezi wa chama.
Wana JF mnakumbuka JEETU PATEL alipokamatwa na kunyimwa mdhamana hata kuruhusiwa kwenda kutibiwa ilikuwa ngoma, lakini wote mnakumbuka alivyoshinda tenda ya kuingiza matrekta mradi wa mabillioni na leo Jeetu ndiyo huyo anamkataba mnono wa kuingiza matrekta tena kwa kushirikiana na mnadhimu wa JWTZ.

nAWAONYA MUACHE USHABIKI KAZI NI MOJA TU ILIYO MBELE YETU.TUDAI KATIBA KWANZA HAYA MAENEO YATARUDI KUPITIA KATIBA INAYOWAJALI WATANZANIA vinginevyo mkubali kuwa mnaanza kutolewa taratibu kwenye mada ya KATIBA NA KULETEWA MADA HOVYOOO HOVYOOO.

Nawahakikishia wale wahindi wanajua kinachoendelea na wanwasiliana na JK kila kukicha.

Wandugu tuamke wala tusipoteze kumsifu mama Tiba kwa kitu kisichotekelezeka ni USANIII WA MCHANA.

mimi nakataa bado namwamini DR.SLAAAA RAIS WANGU
 
mkuu, unajaribu kusema nini? hebu pumua kwa nguvu, kisha shusha mabega, halafu anza upya, mwanzo kabisa, kutuambia unataka kusema nini.
 
Baada ya open space karibu na hospitali ya Agha khan kubomolewa ukuta wake na baadaye ukuta wa karibu na Palm Beach i think the next stop ni open space ya Avalon cinema stay tuned, hakuna cha Dowans wala nini ni wasiwasi wenu tu hii issue ni ndogo sana tutaimaliza kimya kimya.

Usisaha kwamba watendaji wa serikali waliohusika kufanikisha ufisadi wa viwanja vya wazi wana hela sana. Wao ndio watakao kuwa kikwazo kikubwa cha mama Tiba kwani hawana pesa za kurudisha.

Kuna dogo mmoja jirani yetu alikuwa anafanya idara ya ardhi Kinondoni. Lukuvi alipowasha moto na kuwasimamisha yeye hakuguswa na mambo ya kuhojiwa wala kufunguliwa mashitaka. Ameoa chap chap, amenunua magari ya taxi na daladala, amefungua frame za maduka kariakoo na maeneo mengine, amenunua viwanja, amejilipia shule uingereza cash na sasa anasoma first degree uingereza kwa gharama zake mwenyewe huku mke akibaki anakula bata bongo na kusimamia miradi.

Na huyo alikuwa ni mtu mdogo sana, kama karani tu. Je hao vigogo unadhani pesa walioyo nayo ni ndogo? Je, unadhani connection waliyo nayo na ikulu ni ndogo?
 
mkuu, unajaribu kusema nini? hebu pumua kwa nguvu, kisha shusha mabega, halafu anza upya, mwanzo kabisa, kutuambia unataka kusema nini.

Mkuu nilikuwa namalizia pepsi cola yangu kwanza si unajua joto la Dar???? Nasema hivi mama Tiba hataviweza vita hivi vya viwanja tata, bora aanzishe utaratibu mpya wa kurekebisha sheria kwa siku za usoni hasa kwa kujiunga na wapigania KATIBA MPYA.
Viwanja vya wazi viligawiwa huku ikulu ikijua kama ulivyosema hapo juu.Itakuwa vigumu kugusa kiwanja chochote kilichogawiwa bila kugusa IKULU.
Ndiyo maana wahindi wamempa muda mama wa kujitathimini kama kweli yuko tayari kwa vita, lakini mwisho wake mama atakuja kupokea order toka magogoni kuwa mwacheni huyo ni kada wa siku nyingi.aMUULIZE JIRANI YAKE POMBE MAGUFULI amjuze aliyoyaona wizarani wakati ule.TUPIGANIE KATIBA TUACHE YA ZIMA MOTO.asante
 
Usisaha kwamba watendaji wa serikali waliohusika kufanikisha ufisadi wa viwanja vya wazi wana hela sana. Wao ndio watakao kuwa kikwazo kikubwa cha mama Tiba kwani hawana pesa za kurudisha.

Kuna dogo mmoja jirani yetu alikuwa anafanya idara ya ardhi Kinondoni. Lukuvi alipowasha moto na kuwasimamisha yeye hakuguswa na mambo ya kuhojiwa wala kufunguliwa mashitaka.
1.. Ameoa chap chap,
2.. amenunua magari ya taxi na daladala,
3.. amefungua frame za maduka kariakoo na maeneo mengine,
4.. amenunua viwanja,
5.. amejilipia shule uingereza cash na sasa anasoma first degree uingereza kwa gharama zake mwenyewe huku mke akibaki anakula bata bongo na kusimamia miradi.

Na huyo alikuwa ni mtu mdogo sana, kama karani tu. Je hao vigogo unadhani pesa walioyo nayo ni ndogo? Je, unadhani connection waliyo nayo na ikulu ni ndogo?

Wa-Tanzania kwa kusifia wezi hamjambo!!!

BTW: Mke anakula bata au analiwa bata?
 
Mkuu nilikuwa namalizia pepsi cola yangu kwanza si unajua joto la Dar???? Nasema hivi mama Tiba hataviweza vita hivi vya viwanja tata, bora aanzishe utaratibu mpya wa kurekebisha sheria kwa siku za usoni hasa kwa kujiunga na wapigania KATIBA MPYA.
Viwanja vya wazi viligawiwa huku ikulu ikijua kama ulivyosema hapo juu.Itakuwa vigumu kugusa kiwanja chochote kilichogawiwa bila kugusa IKULU.
Ndiyo maana wahindi wamempa muda mama wa kujitathimini kama kweli yuko tayari kwa vita, lakini mwisho wake mama atakuja kupokea order toka magogoni kuwa mwacheni huyo ni kada wa siku nyingi.aMUULIZE JIRANI YAKE POMBE MAGUFULI amjuze aliyoyaona wizarani wakati ule.TUPIGANIE KATIBA TUACHE YA ZIMA MOTO.asante

Ahaa, sasa nimekuelewa. Inaonekana Pepsi inachangamsha akili, eh? Sasa? hebu jaribu kuvuta kumbukumbu zako kuhusu swala la ardhi Kenya na jinsi lilivyotawala siasa za kuandika katiba mpya. Pamoja na yote yale, waliopora ardhi hawatafanywa chochote na wanaendelea kuhodhi. Huko kenya ujue hali ya kupora na kuhodhi ardhi ni balaa kuliko hapa kwetu.

Kisha ujiulize hata kama ukiwa na katiba mpya itafanya nini? si unajua sheria hazitungwi retrospectively? Kwa mantiki hiyo nadhani tunahitaji vyote, kukomboa ardhi yetu na kuandika katiba mpya kuwaonya waliohusika wasirudie tena.

Yaani kwa kiingeresa wanasema hifiii, "Chase first the fox and then warn the chicken from wondering about the bush"

hapo je, umenipata mkuu?
 
siku hizi jiji hubomoa mida kuanzia saa 9 jionikukwepa mbomolewaji kupata court injuction!muda wa mahakama unakua umepita
 
MO ya humu ndani ni ushabiki sasa why not kuendelea nao?

hiyo ndio kawaida yenyewe na nashangaa eti mtu anakuja na kutaka analysis...ya nini? hatutaki mambo hayo humu sie humu ni ushabiki na jazba infact ilitakiwa Tibaijuka akamkamate huyo mwenye kiwanja na askrari wake in person!!
 
then wakishitakiwa watalipia gharama za mahakama na za hicho kilichobomolewa

sasa kama shria iko upande wao, wanaogopa nini? kwa nini wafanye mambo yao kwenye giza?

of course maswali kama haya hatupendi kuuliza sie ma expert members wa JF sie jazba tuuu kamata kamata funga funga yes...
 
MO ya humu ndani ni ushabiki sasa why not kuendelea nao?

hiyo ndio kawaida yenyewe na nashangaa eti mtu anakuja na kutaka analysis...ya nini? hatutaki mambo hayo humu sie humu ni ushabiki na jazba infact ilitakiwa Tibaijuka akamkamate huyo mwenye kiwanja na askrari wake in person!!

pole mkuu, jaribu kuwahi kupima malaria mkuu, ile ya kichwani huanza hivi. Na xmas hii huwezi kujua mkuu
 
Back
Top Bottom