iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,941
HatariDar mikutano 35436
HatariDar mikutano 35436
Mbeya 46475Dar mikutano 35436
HPolisi mkoa mzima hawafiki 300, sasa labda wqlipue nyuklia mkoa mzima[emoji23] [emoji23]
Umeuliza swali
sio lazima ujibiwe
Kweli kabisasioni haja ya polis kuwapiga mabomu watu wanaotekeleza haki yao yakikatiba kamwe. cha msingi jeshi la polis watoe ulinzi kama katiba inavyosema....
Malizia kula vichwa vya kuku hapo tandale ukalale....mbururaSisi huku Rukwa hatuna mpango wowote wa kuandamanishwa kipumbavu, huo ni uongo wako usiokuwa na tija. HATUANDAMANI NG'O
acha ujinga weweRuzuku za hazijulikani zinatumika vp,chama hakina ofisi kwa miaka zaidi ya 20 sasa ,mi nadhan mngefanya maandamano ya kufanya harambee ili mpate hela za kijenga ofisi zenu kwanza.