Ukurasa wa kujadili hot threads: Naanza na hii "Huyu ndiye mwanaume ninayemtaka"

Narudia tena na tena, bila suala la flat screen kutolewa ufafanuzi vizur mimi PM siji ngóoo... Nadhani unaelewa vema principle ya 'QUID PRO QUO' maana yake ni 'GIVE AND RECEIVE' .. Sasa wewe unataka kuthibitishiwa vigezo vya wanaume kama vipo halafu wewe vya kwako huviweki wazi.. Uoni kama kuwa kwako kimya kuna sababisha imbalance?
Nothing go for nothing 'Quiq pro quo'
 
mleta thread hyo ID yako alafu unakuta ni "ME" basi utata mtupu.... haya majina ya kibantu hayanaga fomula kabisa
 
endeleeni kuchagua hvyo hivyo , kwa utashi wangu nguvu ya kuchagua kwa mabinti inaishia kwenye kuchagua mchumba na cio mume ...! labda iwe bahati huyo mchumba uliemchagua aje kua mume ila cio mara zote ufikia huko
 
Narudia tena na tena, bila suala la flat screen kutolewa ufafanuzi vizur mimi PM siji ngóoo... Nadhani unaelewa vema principle ya 'QUID PRO QUO' maana yake ni 'GIVE AND RECEIVE' .. Sasa wewe unataka kuthibitishiwa vigezo vya wanaume kama vipo halafu wewe vya kwako huviweki wazi.. Uoni kama kuwa kwako kimya kuna sababisha imbalance?
Wala pm sitaki uje mdogo wangu kwanza kua hii sio type yako, wacha nidil na wanaume, wewe type zako ziko secondary

Mp ni nyingi mpaka sijazijibu, yako ndo nitajibu dogo langu?
 
Nakutania tu mkuu usianze kurusha ngumi
 
Back
Top Bottom