Kwa hiyo mkuu unashangaa ukungu au ndiyo haujui ukunguuuu????
Upo kwa siku tatu sasa..hali ya hewa ya baridi ndo inaleta hivi..Nimepita kwenye mataa Chang'ombe nimeona ukungu wa baridi! Au ni moshi wa taka zinazochomwa?
Mitaa ya Jangwani Sea Breaze kuna snow kibao imemwagika