Ukumbi Danken House Mikocheni unakodishwa

Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
8,188
30,838
Wakuu kwema jamani.

Nina Shida nadhani naweza pata msaada hapa. Nilifanya booking ukumbi wa Danken house mikocheni kwa tarehe 25 June 2016, sasa kwa Bahati mbaya shughuli yangu haitakuwepo tena, kama kuna mtu anatafuta ukumbi kwa tarehe hiyo achukue slot hii Basi na anirudishie advance niliyotoa. Hawa jamaa wana policy kali sana hawarudishi hata mbuni asee uki cancel.

Msaada jamani.
 
Pole,je huwezi kusogeza siku mbele kwa a lil additional cost?
Utapata tu mtu.Tafuta contacts za ma MC ujaribu kucheck nao ama hata kwenye majumuia huko ulizia ulizia unaweza pata mtu.
Naamini utafanikiwa
 
leo ni tarehe 20.. na imebaki mwezi mmoja tu kufika tarehe yako unayotafuta mtu.

kiukweli ni ngumu kupata harusi inayoandaliwa kwa mwezi mmoja tu.. au ambayo haina ukumbi mpaka leo...

ushauri tu sogeza siku mbele pale pale kwenye ukumbi watakuelewa..

nao wanakataa sabab wanajua hawawezi pata mteja mpya kwa mwezi mmoja uliobaki
 
Tatizo shughuli yenyewe imekufa mkuu! Haitakuwepo tena.

Ngoja nijaribu kucheki na ma MC tuone
 
leo ni tarehe 20.. na imebaki mwezi mmoja tu kufika tarehe yako unayotafuta mtu.

kiukweli ni ngumu kupata harusi inayoandaliwa kwa mwezi mmoja tu.. au ambayo haina ukumbi mpaka leo...

ushauri tu sogeza siku mbele pale pale kwenye ukumbi watakuelewa..

nao wanakataa sabab wanajua hawawezi pata mteja mpya kwa mwezi mmoja uliobaki
Shughuli imekufaa Shauri Mbaya! Haitakuwepo tena
 
Binti alikubali kubadili dini sasa wazazi wake wamemkatalia hatua za mwisho wakati karibu anamaliza mafundisho, biashara imeishia hapo
Umempenda kweli? Kama kweli mtie mimba, then wazazi watakususia , utachukua mke kiulaini.

Ili kuhalalisha ndoa yenu kisheria, mkafungie bomani . mengine yatafuatia.
 
Hapo ukumbini ni kwa ajili ya sherehe ya ndoa yenu tu na wala siyo mahali pa kufungia harusi, harusi ni msikitini, kanisani, bomani, kwa ushauri wewe fanya sherehe halafu ndoa ifuate, au la muende bomani kinachotakiwa ni cheti cha ndoa tu ili uwe na kinga ya kisheria juu ya huyo mwanamke,
Hao jamaa wa dunken wapo sahihi, wewe mwenyewe ndo ulikuwa na kiranga ukakurupuka. wazazi wa binti huwa wanatumia sana hicho kiranga kama advantage, mke ni kama kipepeo ukimfuata kwa pupa unamkosa, ila ukitulia atakuja mwenyewe kutua begani.
 
Usilolijua ni kama usiku wa giza, hayo ya kiranga yanatoka wapi sasa, angalia usiwe wewe ndio mwenye kiranga kudhania unajua sana kujibu vitu usivyovijua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom