Ukucha

Kucha noma kidonga chake ni sawa na jeraha la risasi endapo itakufinya
 
Kucha noma kidonga chake ni sawa na jeraha la risasi endapo itakufinya

itara ni kweli kabisa mimi nina kovu la kucha la mwaka 1980 mpaka leo lipo shavuni
 
itara ni kweli kabisa mimi nina kovu la kucha la mwaka 1980 mpaka leo lipo shavuni

Afadhali hata kufinywa
Mademu wengine sijui vip aneza akakuganda shingoni na mikucha yake ka uliyevamiwa na chui au simba kunako dozi
 
Afadhali hata kufinywa
Mademu wengine sijui vip aneza akakuganda shingoni na mikucha yake ka uliyevamiwa na chui au simba kunako dozi

cheza mbali na mwanamke mwenye mikucha mirefu migumu kama shetani, kucha ni silaha kali mno na zina sumu mbaya sana
 
Nachukia sana kucha ndefu, sijui itakuwaje kwa mama watoto nitakayempata halafu ukute kucha ndio mambo yote kwake.
 

Asantee...
 
kwa upande wangu nina mtazamo tofauti sana kwa wote wafugao kucha kuwa ni makahaba tena wavivu coz mtu mikucha mirefu sasa ukutaka hata kufua nguo inawezekana kirahisi kweli ? au ndo kuloweka loweka ngu bila kutakatisha ?
kwa wanaume siungi mkono hoja hata kidogo huo ni ulimbukeni wa hali ya juu sana.
 

mbaya zaidi siku hizi kuna kucha bandia zinabandikwa na superglue zina madhara makubwa kiafya kwenye ukuaji wa kucha, lakini walimbwende utawaambia nini wakuelewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…