Asante dada kwa ushauri wako mzuri natumaini uko msafi nakuonea wivu shoga unakucha safi Lol
Unakucha safi kama za bujibuji?Huwa najiuliza mara nyingi hivi wewe ni KE au ME majibu tafadhali.
Unakucha safi kama za bujibuji?
kwa ustaarabu sana naomba nikufahamishe kuwa mimi ni mwanaume
Asante dada kwa ushauri wako mzuri natumaini uko msafi nakuonea wivu shoga unakucha safi Lol
Unakucha safi kama za bujibuji?
Huwa najiuliza mara nyingi hivi wewe ni KE au ME majibu tafadhali.
Kucha hafai kufugwa kwa mwanamume au mke madhara yake makubwa mno
madhara gani......... ingawa huwa sifugi kucha