kakhulu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 783
- 1,059
Sijawahi kumuelewa huyu dada na kazi zakeYote tisa kumi ni Taylor Swift amevunja record ya Michael Jackson kwenye Amercan Music Awards kwa kua na jumla ya tuzo 29 na MJ alikua na 24,
Yaan Taylor, like for real??
Anyway kila nchi na mkali wao so hata Bieber unaweza usione ukali wake lakini ndie anakimbiza.