M mwanamanzi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2017 Posts 270 Reaction score 354 Feb 10, 2021 #2 Huyo nyau nae anazingua. Ukuaji gani sasa mbona haongezeki wala hapandi?
Mung Chris JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 3,473 Reaction score 4,007 Feb 10, 2021 Thread starter #3 mwanamanzi said: Huyo nyau nae anazingua. Ukuaji gani sasa mbona haongezeki wala hapandi? Click to expand... Ndio maana yake uchumi wa sasa hivi tunao zuga kuwa unakua kumbe ndio spidi halisi.
mwanamanzi said: Huyo nyau nae anazingua. Ukuaji gani sasa mbona haongezeki wala hapandi? Click to expand... Ndio maana yake uchumi wa sasa hivi tunao zuga kuwa unakua kumbe ndio spidi halisi.