mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,607
- 4,902
Na je yale maujiuji yanayokaa kwenye utumbo mkubwa wa wanyama kama ng'ombe na mbuzi ambao humwagwa tu hata mbwa huwa hawali unafaa ukiumwaga kwenye bwawa?
Yep kwa Kambale ule ni sawa na pilau yake. Kwa kiingereza, Kambale anaitwa a river janitor, yaani msafishaji wa uchafu wote wa majini, mizoga, vinyesi vya wanyama, yaani kila kitu kwa Kambale ni poa tu.