Ukristo,Upagani na mauaji ya Kimbari ya Rwanda

Ukristo,Upagani na mauaji ya Kimbari ya Rwanda

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,927
Reaction score
37,776
Hapa sizungumzi kuhusu mchango wa kanisa katoliki kwenye mauaji ya kimbari ya Rwanda ila nazungumza kuhusu nafasi ya imani za kikristo na kipagani katika Mauaji ya Rwanda..


A. UKRISTO

Mwaka 91 MTU aliejulikana kama Nabii au Mtakatifu Magayane inasemekana alioteshwa na Mungu kuwa Juvenal Habyrimana atakufa kwenye ajali ya ndege na baada ya hapo yatatokea machafuko makubwa sana ndani ya Rwanda ambayo yatatulizwa na kijana wa kinyarwanda aliekulia uhamishoni.

Mtakatifu Magayane was a Devoted Catholic .Muda wake mwingi alikuwa anautumia nyikani na chakula chake kikuu kilikuwa ni matunda ya porini..
Unfortunately enough Mt.Magayane alifariki dunia kabla ya mwaka 94..

2. BIKIRA MARIA KUTOKEA KIBEHO NA KUTOA ISHARA YA KUTOKEA KWA MACHAFUKO: Mwaka 1993 inasemekana kuwa Bikira Maria aliwatokea watu wakiwa kanisani huko maeneo ya kusini mwa Rwanda karibu na mpaka wa Burundi na kutoa ishara kuwa yangetokea machafuko makubwa nchini Rwanda..Mpaka Leo wakatoliki kutoka sehemu mbalimbali duniani huwa wanaenda kuhiji huko Kibeo katika eneo ambalo Bikira Maria aliwatokea watu.


A.UPAGANI: Pamoja na kwamba wanyarwanda kwa ujumla wake sio watu wanao amini sana masuala ya kishirikina na kipagani lakini kuna imani ya kipagani ambayo haijulikani waliipata wapi..Imani hii ilikuwa very popular katika kipindi cha siku zote mia moja wakati Mauaji ya kimbari..

Imani hii ilitumiwa zaidi na wanamgambo wa Interahamwe,Impuzamugambi and Ex Far soldiers..

Sikuweza kufahamu kuhusu hili hadi siku niliyo tembelea Kigali maeneo ya Gisozi kwenye makumbusho ya Mauaji ya kimbari na kununua kitabu kinaitwa " WE SURVIVED THE GENOCIDE IN RWANDA:28 PERSONAL TESTIMONIES " ambacho kimechapishwa na taasisi ya kuzuia Mauaji ya kimbari ijulikanayo kama AEGIS FOUNDATION..

Imani hiyo ya kipagani ni ile isemayo " IT IS A BAD LUCK TO KILL A DYING PERSON " Kuna watu wengi wali survive the genocide kwa sababu ya imani hii..

Mmoja kati ya watu walio survive kupitia imani hii ni jamaa anaeitwa INNOCENT NDAMYINA GISANURA ..

Jamaa huyu baada ya kunusurika kuuwawa kwenye mlima wa Bisesero ambako kati ya Watusi zaidi ya laki moja na elfu 78 walio enda enda kujihami mlimani hapo ni Watusi elfu tatu tu walio survive...Watusi Laki moja na elfu sabini na tano wote waliuwawa..

Inno ambae wakati wa genocide alikuwa na miaka kumi na NNE anasema :

" I escaped and returned to my neighbourhood in the valley of the Kirongi mountain. I managed to spend a week there, hiding from 23-28 April in a cave without food or water ..I was desperately thirsty. I could no longer even speak or swallow saliva- I didn't have any.

It felt as if my throat was about to close. Although I was in a place controlled by the French,militias and presidential guards, I thought I might as well take the risk of going to drink water because otherwise I would die of thirst.
But I had no way of moving safely and when I went to a water hole where cows drank, an attack group found me.

I wasn't scared because it was my second month of witnessing killings.

I asked them to let me finish drinking water first, and they did.
Then they walked me with my bullet wound to the hole where they threw people after they had killed them.

I asked them why they were doing this .I knew already but just wanted to hear them say it.

In my area they had a registration book which was used to record all those killed .

My family made up most of the population of the area and I was the only one missing in their book.

They showed me the book and said they had been looking for me ; now they have found me, they wanted to kill me.

I asked if they would answer one question . They agreed and I asked them why they wanted to kill me.

They told me it was because I was a Tutsi, a ' cockroach' that Rwanda was not our country and so we must be exterminated.

By killing me, they added they were doing me a favour because my entire family and all the Tutsis had been killed ,so living for me would be useless.

I asked them why they were going to kill me when I had never wronged them ,when in fact I had lived in harmony with them and their children.

They told me to ask God because He was one who created Tutsi and had abandoned them. I heard that and figured that I couldn't add anything.

Even though they were angry , I asked them for one more thing. I didn't care because I knew they were going to kill me anyway .

I had seen death and was no longer scared.

I asked them to let me pray and they agreed .

While I was praying , they started complaining that my prayer was too long .

I begged them to let me finish and they did. I continued. They started complaining again, saying that my prayer was taking too long AND THEY NEEDED TO GO SOMEWHERE ELSE TO FIND PEOPLE TO KILL ( The emphasis is mine ) .

They let me pray for the third time, but this time they didn't let me finish .

They hit me on the head with a club. I fell down unconscious and don't know when they hacked me . But I have four machetes scars on my head , as well as the bullet wound in my leg.

Form 28 April to 2 May I lay there unconscious .I woke up after a dream about being killed and found myself in a hole.. I crawled out with some difficulty .

I thought about what to do next and decided to go to Kibuye town.

I would go to the hospital and they would either kill me or treat me .

That's what I did . I was really looking for a place for a nicer death.

From there I was to Kibuye it took me two days, walking and hiding.

I got there on 4 May.One thing o remember is that I heard on the Interahamwe's radio that the RPF had captured Kabgayi and managed to rescue people who had fled there.

I reached the roadblock at the roundabout in Kibuye and people came to look . There were soldiers and one wanted to shoot me saying that I was a cockroach.

I told him that I came from Bisesero and I wasn't a cockroach.

He replied by asking what the difference was between the RPF cockroach and the Bisesero Inyenzi. I kept quite.

When he was going to shoot me ,HIS PARTNER TOLD ME TO LEAVE ME ALONE BECAUSE I WAS DYING ANYWAY FROM MY WOUNDS. HE SAID THAT KILLING ME WOULD BRING HIM BAD LUCK..

Mwisho wa story Inno aliokolewa na nesi ( Mhutu ) @ King Feycal Hospital in Kigali.

Nimesoma kitabu hicho na kukutana na idadi kubwa ya watu ambao walipona kuuwawa kwa sababu Mauaji waliamini ni nuksi kumuua MTU anaelekea kufa.

MY CONCERN IS HOW COME SOMEONE FIND IT COOL TO KILL A LIVING PERSON BUT FIND IT A BAD OMEN TO KILL A DYING PERSON.

VITA NI MBAYA
 
Some time I do think... the purification was the major cause
 
Ur making a very interesting point bro..Unaweza kufunguka zaidi?
Kuna kipindi katika maisha watu wanapitia mambo magumu sana na unajiuliza kwanini.. Mf: kama wewe ni mkristo ukisoma biblia unaona Mungu aliwaangamiza watu kwa "Galika la Nuhu" then unaona safari ya jangwani ilikua fupi sana kufikia Nchi ya Ahadi lakini tunaona walizungukz jangwani usiku na mchana kwa muda wa miaka 40...

Hapa hatusemi Mungu alikuwa muuaji au aliwatesa watu wake kwa safari ya jangwani kwa kuwazungusha sana.. Hapana asee hapana tunaona Mungu alitaka kukitakasa kikazi "purification" Ili kizazi kinacho itajika kibaki au kipatikane kwa makusudio ya maisha mazuri mbele.. kwaiyo hata hilo la mwaka 1994 la Rwanda inawezekana kabisa "its was a purification to the better"[emoji20]
 
Kuna kipindi katika maisha watu wanapitia mambo magumu sana na unajiuliza kwanini.. Mf: kama wewe ni mkristo ukisoma biblia unaona Mungu aliwaangamiza watu kwa "Galika la Nuhu" then unaona safari ya jangwani ilikua fupi sana kufikia Nchi ya Ahadi lakini tunaona walizungukz jangwani usiku na mchana kwa muda wa miaka 40...

Hapa hatusemi Mungu alikuwa muuaji au aliwatesa watu wake kwa safari ya jangwani kwa kuwazungusha sana.. Hapana asee hapana tunaona Mungu alitaka kukitakasa kikazi "purification" Ili kizazi kinacho itajika kibaki au kipatikane kwa makusudio ya maisha mazuri mbele.. kwaiyo hata hilo la mwaka 1994 la Rwanda inawezekana kabisa "its was a purification to the better"[emoji20]
Ngumu kumesa but anyway u have made a very interesting observation
 
Mkuu huyo ndg Innocent anaweza kuwa alisema uongo kwa 99.5% kwa maana nyingine kwake ukweli ni 0.5% kwa stori hiyo. Huyo jamaa anasema alimaliza siku 7 bila kula wala kunywa (tarehe 23-28) halafu siku ya tarehe 28 ndipo alikamatwa na hao wahutu cha ajabu ni kwamba mtu aliyekaa siku 7 bila kula wala kunywa aliweza kupiga stori ndefu na hao wauwaji ( rejea majibizano yao). Huyu jamaa pamoja na kujeruhiwa na wahutu na kuzimia bado alipata nguvu ya kujisogeza umbali mrefu hadi kuokotwa siku ya tarehe 4. Kwahiyo anataka kusema alikaa siku 14 bila kula wala kunywa na he survived. Kwa imani yangu nitakubaliana naye kama kilichotokea kwake ni muujiza.
 
Mkuu huyo ndg Innocent anaweza kuwa alisema uongo kwa 99.5% kwa maana nyingine kwake ukweli ni 0.5% kwa stori hiyo. Huyo jamaa anasema alimaliza siku 7 bila kula wala kunywa (tarehe 23-28) halafu siku ya tarehe 28 ndipo alikamatwa na hao wahutu cha ajabu ni kwamba mtu aliyekaa siku 7 bila kula wala kunywa aliweza kupiga stori ndefu na hao wauwaji ( rejea majibizano yao). Huyu jamaa pamoja na kujeruhiwa na wahutu na kuzimia bado alipata nguvu ya kujisogeza umbali mrefu hadi kuokotwa siku ya tarehe 4. Kwahiyo anataka kusema alikaa siku 14 bila kula wala kunywa na he survived. Kwa imani yangu nitakubaliana naye kama kilichotokea kwake ni muujiza.
Mkuu anaweza kuwa kweli.. Wanasayansi wanasema kuna aina Fulani ya glands ( hormones ? )ambazo huwa zinakuwa active sana pindi MTU anapokuwa kwenye danger...Ukiwa katika danger ya kuuwawa wakati wowote sidhani hata hicho chakula kinaweza kupanda..
 
Back
Top Bottom