UKraine yashambulia ghala kubwa la Silaha katika ya Urusi.

TaiPei

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2022
Posts
617
Reaction score
619

Shambulizi la Ukraine, lasababisha maafa Russia​

19 Septemba, 2024
dbc5098c-196b-4ce0-9738-b2bad7a301d6_w1080_h608_s.jpg

===
Shambulizi la ndege zisizo na rubani za Ukraine, la Jumatano kwenye ghala la Russia, limesababisha mlipuko kama wa tetemeko la ardhi na kuwasha moto ambao ulilazimisha kuhamishwa kwa mji katika mkoa wa Tver nchini Russia.
“Adui alishambulia ghala la risasi katika eneo la Toropets,” amesema Yuri Podolyaka, mzaliwa wa Ukraine, mwanablogu wa kijeshi anayeunga mkono Russia, shirika la habari la Reuters limeripoti.
Wachunguzi wa tetemeko la ardhi walichukulia tukio hilo kama tetemeko la ardhi, na satelaiti za NASA zilibainisha chanzo kikubwa cha joto katika eneo hilo hilo. Igor Rudenya, gavana wa eneo la Tver, amesema kwenye mtandao wa Telegram kwamba ndege zisizo na rubani zilitunguliwa na moto uliwaka, lakini hali hiyo ilidhibitiwa.
Reuters imeonyesha kile ilichosema video ambayo haijathibitishwa ya mlipuko wa ghala kwa taasisi ya George William Herbert.
 
Huyu Putin alifanya kosa sana alipo fika Kyiv akaondoa vifaru, mimi nisinge kubali huo ujinga liwe na liweile. Kupull out ndio hio mavuno yake. Si ajabu hata yule Ministry of defence Sergei Shoigu wakati ule alitumiwa na hao Western atoe hilo jeshi.
 
Alibanwa akapakimbia.
 
Warusi walishindwa kuiteka Kyiv, hawakuondoa vifaru kwa kupenda.
 
Putin Kuna siku atajuta
 
Huyu Putin alifanya kosa sana alipo fika Kyiv akaondoa vifaru, mimi nisinge kubali huo ujinga liwe na liweile. Kupull out ndio hio mavuno yake. Si ajabu hata yule Ministry of defence Sergei Shoigu wakati ule alitumiwa na hao Western atoe hilo jeshi.
Hii kazi ilitakiwa kuisha mapema saiv amedhalilika sana basi tu
 
Back
Top Bottom