MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,675
- 48,451
Hii nayo pia ninyuzi ya kishabiki?. Kama waona niyakishabiki basi mwambie Moderator aingunashe kwenye Uzi mkuu. Halafu hio mashekhe wakibongo inahusiana vipi nahuu uzi?. Punguza ubaguzi wakikenya.
Wala siwaiti mods, endeleeni kuleta nyuzi na sisi tuendelee ila uache unafiki wa kushabikia masheikh wakileta mahaba yao kwa Putin lakini sisi tukileta za Ukraine unalilia mods.
Na yeah masheikh wa kibongo nimewataja kabisa maana huu ugomvi kwenu huko mumekaa kidini kabisa, mnamsujudia Putin eti ndiye anamkomesha Marekani.
Putin amechemsha sana kwenye huu ugomvi hata waarabu wenye dini yao ambao walikua wanamtegemea wameufyata, nyie ndio mumebaki mkimshabikia.