Ukraine inasema Urusi ikiondoa jeshi nchini humo hawatojiunga na NATO

Hii nayo pia ninyuzi ya kishabiki?. Kama waona niyakishabiki basi mwambie Moderator aingunashe kwenye Uzi mkuu. Halafu hio mashekhe wakibongo inahusiana vipi nahuu uzi?. Punguza ubaguzi wakikenya.

Wala siwaiti mods, endeleeni kuleta nyuzi na sisi tuendelee ila uache unafiki wa kushabikia masheikh wakileta mahaba yao kwa Putin lakini sisi tukileta za Ukraine unalilia mods.
Na yeah masheikh wa kibongo nimewataja kabisa maana huu ugomvi kwenu huko mumekaa kidini kabisa, mnamsujudia Putin eti ndiye anamkomesha Marekani.
Putin amechemsha sana kwenye huu ugomvi hata waarabu wenye dini yao ambao walikua wanamtegemea wameufyata, nyie ndio mumebaki mkimshabikia.
 
Mambo ya dini ushekhe na uarabu yameingiaje hapa, mtakufa kwastress ya kichapo, yaani stress zenu zinasababisha mpaka mnaongea vitu ambavyo havipo kabisa
 
Ndivyo mlivyo, mkishaaminishana mizuka huko misiktini nyote mnafuata upepo mmoja, kwa sasa hivi hamuambiwi kitu chochote dhidi ya Putin, mnamsujudu kabisa hata kumzidi yule muddy.
 
Wala siwaiti mods, endeleeni kuleta nyuzi na sisi tuendelee ila uache unafiki wa kushabikia masheikh wakileta mahaba yao kwa Putin lakini sisi tukileta za Ukraine unalilia mods.
Na yeah masheikh wa kibongo nimewataja kabisa maana huu ugomvi kwenu huko mumekaa kidini kabisa, mnamsujudia Putin eti ndiye anamkomesha Marekani.
Putin amechemsha sana kwenye huu ugomvi hata waarabu wenye dini yao ambao walikua wanamtegemea wameufyata, nyie ndio mumebaki mkimshabikia.

Masheikh wameingiaje tena hapa? Ndiomaana alshabab wanawatwangeni sawa sawa
 
Ndivyo mlivyo, mkishaaminishana mizuka huko misiktini nyote mnafuata upepo mmoja, kwa sasa hivi hamuambiwi kitu chochote dhidi ya Putin, mnamsujudu kabisa hata kumzidi yule muddy.

Muddy ndio nani tena?
 
Wala siwaiti mods, endeleeni kuleta nyuzi na sisi tuendelee ila uache unafiki wa kushabikia masheikh wakileta mahaba yao kwa Putin lakini sisi tukileta za Ukraine unalilia mods.
Na yeah masheikh wa kibongo nimewataja kabisa maana huu ugomvi kwenu huko mumekaa kidini kabisa, mnamsujudia Putin eti ndiye anamkomesha Marekani.
Putin amechemsha sana kwenye huu ugomvi hata waarabu wenye dini yao ambao walikua wanamtegemea wameufyata, nyie ndio mumebaki mkimshabikia.
Nimekupuuza kaka, wala sintokujibu tena comment yako, kwa sababu unapenda sana mada za ubaguzi wakidini.
 
Putin bado anadeni kwa yule mtikisa matako akidhani anakitisa mbuyu ngoja amalizane Kwanza na mashoga
 
Nimekupuuza kaka, wala sintokujibu tena comment yako, kwa sababu unapenda sana mada za ubaguzi wakidini.
Wala haitobadilisha huo ukweli, ndivyo mlivyo na imeshawakolea, leo hii mnashabikia mauaji ya kimbari dhidi ya watoto wa Ukraine kisa mumeingiwa na mizuka ya kidini na chuki dhidi ya Marekani, kunipuuza hakubadilishi chochote maana sikufahamu...kwaheri.
 
Hawa wakenya sio wakuwaonea huruma 😁 lile tukio la west gate ni halali yao, tena alshabab waende tena wakatembeze kichapo mpaka wakae sawa
 
Apigwe tu. Naona zile taarifa uchwara za kishabiki kutoka kwa wamarekani wa manase zinapungua
Inabidi apigwe ili awe mfano kwa nchi kama Sweden na Finland ili watafakari mara 2 juu yakujiunga kwao NATO, ili wakiwaza yaliyomkuta UKRAINE basi nawao waogope, kama ingewezena wangemuua kabisa raisi wa UKRAINE ili iwe funzo kwa wapumbavu kama yeye, kua URUSI ikisema haitanii waelewe.
 
Wale wazee wa propaganda na kutunga mada za urongo humu kigwendu wenu huku anaomba Urusi kutoa jeshi lake maji yamemfika kwenye shingo anamaanisha kichapo kisimamishwe

Hii imetokana na wengi wa wanajeshi na mamluki kutoka nje ya Ukraine kujisalimisha katika miji mbalimbali kwa majeshi ya Urusi kwa sababu mbalimbali zikiwemo kuishiwa silaha, usalama wao, kuishiwa chakula, kuzungukwa, majiraha nk

Juzi pekeake wanajeshi wapatao 1563 wamejisalimisha kwa majeshi ya Urusi kitu ambacho Rais wa Ukrain kimemfanya akasirike sana na kutoa leo kutoa vitisho kuwa atakae jisalimisha atauwawa

Kila siku kuna picha nyingi ambazo zinaonyeshwa wanajeshi wa Ukraine wakijisalimisha kitu ambacho media za magharibi hawakionyeshi ukitaka kuziona au kujua ukweli wa mambo ingia katika mitandao ya Tweeter na telegram

Rais wa Ukraine, Volodymr Zelenskyy amesema Ukraine ipo tayari kufanya majadiliano ya Urusi na kukubali masharti ya Urusi ya wao Ukraine kuachana na mpango wa kujiunga na NATO na kukubali kuwa Crimea ni sehemu ya Urusi lakini kwa sharti la Urusi kuondoa Majeshi yao nchini Urusi.

Afisa wa Urusi, Vyacheslav Volodin amesema hawawaiamini Ukraine na wanaamini hizo ni propaganda tu za kutaka Urusi imalize vita ili waendelee na mpango wao wa kujiunga NATO.

View attachment 2191358View attachment 2191360
Huna chanzo cha habari hii., nafkiri una hamu usikie hayo maneno lakini ni tofauti sana, nyinyi ndio wale mulilishwa maneno na kusikilizishwa kwenye masikio yenu kuhusu Mrusssi wa mchongo., sasa ni 60 days of no new as a big news bado mnajikongoja Donbas, Zelensky anadunda Kyiv
 
Bbc inakupotosha kijana, nenda Telegram na tweeter ukajionee mwenyewe
 
Wala haitobadilisha huo ukweli, ndivyo mlivyo na imeshawakolea, leo hii mnashabikia mauaji ya kimbari dhidi ya watoto wa Ukraine kisa mumeingiwa na mizuka ya kidini na chuki dhidi ya Marekani, kunipuuza hakubadilishi chochote maana sikufahamu...kwaheri.
Mbona unachuki kubwa na Uislamu na kuingiza vitu ambavyo havipo kwenye mada ? mbona masheikh kibao huku bongo wapo wanakemea mauaji Ukrain na clip ninazo . Nakushauri punguza chuki na kejeli nakuona chuki zako zinafika mbali mpk kumdhihaki Mtume Muhammad (Upon him be paece and blessing of Allah) ktk mada kama hizi.
 
Sijakutana na muislamu hata mmoja anayekemea Putin, kila ninayemjua yupo anashabikia sana Urusi na Putin eti ndio njia za kumkomoa Marekani na EU.
Huwa mnajifanya kuchukia EU na mpo kila siku mnaomba hifadhi kwao.
Nishirikishe clip hata moja ya sheikh yeyote anamsema vibaya Putin au Urusi kisha nitaomba radhi.
 
Back
Top Bottom