Ukraine inaangamia na washirika wake

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,698
Reaction score
7,884

German industry bleeding jobs – business lobby​

The country’s industrial sector is losing around 15,000 jobs every month, according to manufacturing association BDI

 
Vijana wa kiafrika wanarubuniwa na kupelekwa Russia kwamba wanaenda kupewa ajira mwisho wanaishia kuuliwa kwenye vita na Ukraine.

Russia hawana wapiganaji wengi wameuawa vitani na wengine wamekimbia nchi kukwepa kupelekwa vitani na matokeo yake wanakuja kurubuni vijana wa kiafrika wenye njaa.
 
Ndo mchungaj wenu apo kweny kanisa la mabati alivowaambia?
 
Mbona kama unaongea kwa kuteseka sana
Wanapelekewa moto wa Ukraine ila anaumia mzayuni wa jf
 
Tuache utani nduguni Kuna matumbo yalibeba watu aisee
Tumbo la mama Putin
Tumbo la mama xi jinping
Tumbo la mama Kim jong UN
Tumbo la mama Ali khamenei
Yaani natamani ningekuwa kama wao
 
NATO sasa wanajikaza kisabuni tu, lakini hawapaswi kabisa kuendeleza vita vya UKRAIE!
NATO inatakiwa kusalim amri! AIBU!
 
Inaonekana huna taarifa kamili za hii vita!
Una habari kwamba sasa hivi warusi nao wanapanga foleni kujaza mafuta na wameambiwa watukie kwa bajeti?
 
Inaonekana huna taarifa kamili za hii vita!
Una habari kwamba sasa hivi warusi nao wanapanga foleni kujaza mafuta na wameambiwa watukie kwa bajeti?
Hata silaha tuliambiwa wameishiwa ila mwaka wa tano huu mnapelekewa moto wa Ukraine wote kuanzia kule Kiev mpaka huku jf
Yaani mtapelekewa sana moto safari hii
britanicca ana uzi wake uchwara huku kama Moscow watu wanapanga foleni kupewa mkate tokea 2022 mpaka leo
 
Acha mihemuko, ni jeshi pekee linaloweza kumtoa kiongozi wa nchi, mbambana na Katiba,,,,hapo ulipo huna hata gobore
Romania, Sri Lanka na Bangladesh wananchi ndio waliwatoa Marais. Usikariri
 
Muoneee huruma Putin maana anachokutana nacho hakutegemea kabisa. Kwamba leo drones za Ukraine zinajipigia tu hadi ndani ndani kabisa huko Moscow!

Putin wanampukuchua taratibu taratibu hadi ataisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…