Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,227
Ukraine hana ubavu wa kupigana full scare war na russians.
Atakuja kujuta. kwani hata americans hawawezi kupeleka askali wao huko wawasaidie. Russians wakiingia kwenye full scare war ni habari nyingine bana......
Mkuu Ukraine wana bahati mbaya sana, huyu jamaa "Petro Poroshenko" ananikumbusha enzi za Yelstin sina hakika kama nae ni mlevi - Yeltsin alidumaza Taifa lake kutokana na ulevi wake na ubishi, kadanganywa na Reagan na Margret Thatcher mpaka akafikia kawaruhusu Wamerikani waje Russia kuharibu Fighter bombers mahili za Kirusi nyingine zilikuwa bado ni mpya kabisa, wakaharibu Helicopters za kuzamisha submarines za Kimerikani - chopper hizo zilikuwa zinawatisha sana Wamerikani, wakaharibu baadhi ya ICBMs - in short walihakikisha kwamba itachukwa miaka Urusi kujihimarisha kijeshi tena, Yelstin akajikuta washauri wake wakuu ni ma-mafia na wafanya biashara wakubwa, binti yake na mumewe ndio wakawa wasemaji wakuu - nchi ikiwa hoe hae kijeshi na Kiuchumi!!
Petro Poroshenko atafanya makosa kama ya Yeltsin - lakini yeye ni mbaya zaidi maana katika uongozi wake ndio kumehibuka vikudi vya ki NAZI, wana piga risasi watu ovyo especially wanao zungumza lugha ya Kirusi, alafu ni muongo na mzushi anacho tafuta pale ni kuchonganisha Urusi na NATO ili wapigane vita, bahati nzuri Merikani umekwisha mshitukia.