kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hiyo ni kweli kabisa mkuu.., Russia ni wazee wa kupika takwimu.., tuliambiwa urusi Ina wanajeshi ( active personell) million Moja na nusu, lakini Cha kushangaza zaidi, Ukraine, nchi hambayo kabla ya vita ilikuwa na wanajeshi laki Moja na nusu,imewachakaza ndani ya miezi 7 wakawa hoi na kuamua kufanya mobilization ..,yaani jamaa wanaishi kwa uongo uongo tu, [emoji2]Military base yenye silaha nzito za kivita kama zile inaingiliwa vipi na kulipuliwa? Russia mbali na Nuclear ni mtupu mno, usikute hata hizo nuclear 7,000 hana. Usikute anazo hata 500 hazifiki.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app