Ukraine agrees to hold talks with Russia at Belarus border

5523

JF-Expert Member
Nov 13, 2014
1,685
1,587
Kyiv to send delegation of officials for talks with Russian counterparts on the Ukraine-Belarus border, Zelensky says

Aljazeera

Ni wazi Putini amesarenda, hali si ya kawaida sana Russia wamekumbana na joto kali sana miji ya Kiev., Russia ndio walitaka haya mazungumzo awali nadhan vikwazo vimemtia pressure sana huyu jamaa lakini naona kama ni ule msemo usemao "you cannot cry over the split milk".
 
Ukraine ndio waliomba mazungumzo since day two. Russia akalazimisha yafanyike Belarus na sio vinginevo, ndivo inavokuwa.

Awali kabisa putin aliwaambia Ukraine waachane na mpango wakujiunga nato vinginevo angevamia, na ndivo ilivokuwa.

Mazungumzo yatajikita zaidi ktk kumshawishi zelensky aachie madaraka kwa hiari
 
Kama utakua na kumbukumbu nzuri na ukaacha ushabiki Ni kuwa Russia aliomba mazungumzo yafanyike kabla ya kuanza mapigano Ukraine alikataa. Baada ya mapigano ya kupasha misuli amekubali yafanyike mazungumzo.

Kwahiyo kam Ukraine angeshikilia msimamo wake yasingefanyika.

Soma hapa Nani alietoa taarifa, utajua kuwa ni Rais wa Ukraine
Screenshot_20220227-172207.jpg
 
Let's wait and see the outcomes of the talks. Mbaya sana kumwaga damu za wasio na hatia just for prestige; Putin must pay the price.
 
Mbona Nato, USA na Israel wamemwaga damu sana na wao wata'pay lini the price?

Yemen, Libya, Iraq, Syria, afghastan etc
Hii mifano yenu inachosha kwa kweli! Kufurumusha magaidi ni jambo la heri.
 
Ukraine ndio waliomba mazungumzo since day two. Russia akalazimisha yafanyike Belarus na sio vinginevo, ndivo inavokuwa.

Awali kabisa putin aliwaambia Ukraine waachane na mpango wakujiunga nato vinginevo angevamia, na ndivo ilivokuwa.

Mazungumzo yatajikita zaidi ktk kumshawishi zelensky aachie madaraka kwa hiari
Zalensky hawezi kuachia madaraka
Mazungumzo yatakuwa kwenye kukubaliana ukrain asiwe mwanachama wa NATO hilo ndio kubwa

La kujiuzulu zalensky walishagoma ndio sababu mazungumzo ya kwanza yalifeli na ndio haswaa sababu ya vita
 
Kama utakua na kumbukumbu nzuri na ukaacha ushabiki Ni kuwa Russia aliomba mazungumzo yafanyike kabla ya kuanza mapigano Ukraine alikataa. Baada ya mapigano ya kupasha misuli amekubali yafanyike mazungumzo.

Kwahiyo kam Ukraine angeshikilia msimamo wake yasingefanyika.

Soma hapa Nani alietoa taarifa, utajua kuwa ni Rais wa UkraineView attachment 2133118
"Baada ya mapigano ya kupasha misuli". Hii lugha imekaa kibabe sana. Kwahiyo mkuu, mrusi hata vita yenyewe rasmi hajaianza bado
 
Back
Top Bottom