Ukowapi girl friend

Ukowapi girl friend

Sifa;awe muislam mwenye kujisitili,miaka22-20,elimu frm4-mwanachuo,ajue shida na raha,ajiandae kuwa mke,awe mwenye busara,akumbuke ninandugu na marafiki,anaejua kusaidiana,asiwe tegemezi!! kama ukotayari ,0684699371 call.

kila la heri
 
Mmh mbona hujajieleza mwenyewe uchumi wako ukoje,kazi wap,kiwango chako cha elimu na mengineyoo
 
Elimu f6,sina kazi atakaejitokeza ajue shida na raha hadi kufika mafanikio!
 
Back
Top Bottom