Ukosefu wa polisi TZ huu hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukosefu wa polisi TZ huu hapa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Acha Uvivu, Jun 13, 2011.

 1. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Katika harakati za FFU kuwazuia wanafunzi wa Chuo Muhimbili wasifike wizara ya Elimu wanatoa sababu eti kuna mgeni H. Clinton. Jamani tutafika? Naomba police wa Tz walijue hili kuwa hawa wageni wanaowashabikia hawana lengo zuri. Maendeleo ya nchi yetu yako mikononi na si mikononi mwa wanafiki. Aibu kubwa hii kuwazuia wasomi wasidai haki zao. Nawasilisha.
   
 2. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kuna haja ya kuweka kigezo cha kila police minimum awe ni form six at least awe anareason kidogo (kwa sasa hawana tofauti na mbwa ukimwambia kamata anakamata) ...naamini ningekuwa police amri zingine za kishenzi shenzi ningeshakufa siku mingi sana...as long as nina siraha! utajuta!
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo wamewazuia wasiandamane kudai haki zao kisa mama Clinton.......ujinga!!
   
 4. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,698
  Likes Received: 8,238
  Trophy Points: 280
  1. PR

  2. Kweli tunahitaji polisi wenye a bit higher level of education..! and that is being done as we speak...sadly, it cant be on a fortnight as u wish bro! change is good but takes time too...
  we'l b there..soon, I promise.
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Lakini kumbuka ni mgeni wa kimataifa lolote likitokea aibu nikwetu kwani wajue hata magaidi wanawezakutumia mwanya huo kufanya uharifu huo!!Mbona hata marekani watu wanazuiwa akiwepo mgeni wakimataifa??Hakuna mahali wanaruhusu kuandamana hasa pale wanapokuwa wanahitaji kulweka ulinzi kwa ajili ya wageni wakitaifa na hasa head of state,Nakumbuka Tony Br,watu waliandamana kuhusu iraq Watu walizuiwa pale DC!Sembuse huku porini!Acheni masikhara jama!
   
Loading...