Ajira hakuna, tumesoma kwa taabu! watoto wa maskini tukitumai angalau elimu itusaidie na tupate kuendelea kidogo, lakini mwaka wa pili sasa unaisha bila matumaini, wengine wanasema tukalime, tutarudije kulima na jembe la mkono na wazazi wetu? si bora tusinge soma basi! hata mikopo yenyewe ni shida. tunaomba mikakati ya namna ya kupunuza tatizo la ajira na sio kuwwaanbia vijana heti mkajiajiri wakati hakuna miundombinu wezeshi na imara ya kujiajiri.