Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,624
- 21,193
Yaani ''tunaachana'' kwa hela kiduchu hivi....inasikitisha.Pole, ndo mmeshaachana hivyo.
Hiyo sio hela kiduchu, ni nyingi sana kama umebanwa mbavu. Cha msingi unachotakiwa kujua ni kwamba hao hawakuwa marafiki bali ni watu mliotokea kujuana nao sana na wewe ukadhani ni marafiki.Yaani ''tunaachana'' kwa hela kiduchu hivi....inasikitisha.
Mkuu nikopeshe laki 5 ntakulipa next weekRafiki yangu mmoja nilimkopa Laki Sita May 2017. Alikuwa nje ya mji na mkewe akapata emergency, akihitaji hiyo pesa. Kwa kuthamini urafiki wetu, nilimtumia fasta, na elfu kumi juu ya ''kutolea''. Huyu hajalipa mpaka leo. Mwingine alikuwa staff member na akaomba nimkope Laki Nane kwa kuwa alikuwa na shida ya kutoa kagari kake kapya bandarini. Ilikuwa June mwaka jana. Hajalipa mpaka leo.
Jambo la ajabu sasa, naona kama urafiki wetu umetetereka pakubwa sana kwa wote wawili. Sio kwamba nawasumbua kwa kuwadai, la hasha. Naona mmoja yeye hata nikichat nae, ule ukaribu wetu wa zamani haupo tena. Sasa hivi simuoni kabisa WhatsApp na nimeambiwa kabadirisha namba. Huyu wa Laki nane zaidi ya mara mbili amepokea simu zangu na kusema ''nipo busy/meeting mkuu, ntakucheki baadae buddaaa...''. Hakunicheki mpaka kesho kutwa. Last time nilitaka kumpa mchongo wa kazi moja hivi lakini alivyoyeyusha, deal nimempa mwingine.
Anyway, kopa mtu fedha at your own risk. Kwa kuwa ninathamimi sana urafiki, mwaka huu sintomkopa fedha mtu au rafiki yangu yeyote. Kama ni fedha kidogo na nimesukumwa na shida ya mtu, nitatoa msaada bure na halitakuwa deni. As for the two gentlemen, nimeshawasamehe moyoni ila sitawaambia na itakaa iwatese tu.
Naomba mkopo kaka yangu.Ila mzee una roho Nzur kwa Mwaka Jana umepoteza 1.4M written off debts Hongera sana
These were close buddies...tunakunywa pamoja. Nasikitika urafiki wanauvunja kindezi hivi...Ila mzee una roho Nzur kwa Mwaka Jana umepoteza 1.4M written off debts Hongera sana
Mie roho kama ya mtoa mada sina so we pitilza tuNaomba mkopo kaka yangu.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Mie roho kama ya mtoa mada sina so we pitilza tu
Ndio ukwel huo[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Ndio ukwel huo
Mkuu usiseme hvyoo,,,,kuna mtu atakukopa utakua huna namna ya kumnymaRafiki yangu mmoja nilimkopa Laki Sita May 2017. Alikuwa nje ya mji na mkewe akapata emergency, akihitaji hiyo pesa. Kwa kuthamini urafiki wetu, nilimtumia fasta, na elfu kumi juu ya ''kutolea''. Huyu hajalipa mpaka leo. Mwingine alikuwa staff member na akaomba nimkope Laki Nane kwa kuwa alikuwa na shida ya kutoa kagari kake kapya bandarini. Ilikuwa June mwaka jana. Hajalipa mpaka leo.