Ukoo wetu, sijui tunakwama wapi?

Nendeni kwa Yesu
 
Nyumba tatu zote za nini?Mtu anaweza kuwa na nyumba moja au asiwe nayo kabisa amepanga tuu na ana uhakika wa maisha mpaka kufa kwake, siyo wote wanafikiria kama wewe, kuna watu wanapanga apartment dola 2000 kwa mwezi na hawana nyumba
 
umeongea kwa uchungu daaah pole sana
 
Mkuu ni kawaida tu hiyo haswa Kama umezaliwa katika sehemu ambazo kwao elimu na biashara vilikuwa ni vitu extra.

Mimi moja ya wazazi, kwao walikuwa wanakaa nyumba ya tope na maezekeo ya kizamani. Mvua ikinyesha ni kisanga ila Ni mtu mmoja tu ndiye aliyevunja hiyo laana ya umaskini hadi kizazi chetu tuna unafuu. Kuliona Hilo suala Kama Ni laana bhasi jua ndio jukumu lako kulibadilisha.. Historia hubadilishwa tu
 
Anza wewe kuwa na yote hayo. Kinakushinda nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…